Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia S Hassan ameendelwa kuonesha kwamba yeye ndio suluhi ya matatizo mbalimbali yanayoikumba jamii Kwa kuendelea kuyatatua Kwa Kasi kubwa.
Kwa Sasa Ma jobless wamefikiwa na Upendo wa mama na moyo wa mshumaa ambapo Serikali yake imetangaza ajiza takribani 10,209 Kwa kada mbalimbali huku 90% ya kazi hizo zikiwa ni Kwa Ajili ya sekta ya afya.
Ikumbukwe mapema mwezi uliopoita Serikali ya mama ilitangaza Ajira zaidi 230 Kwa kada mbalimbali hususani NIT na Shirika la reli.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C9KF-IWtWdC/?igsh=MTBxc21yNWkxbnliYQ==
My Take
Samia ni mtu na nusu,Harmonise hakukosea.Waalimu stay tuned wiki hii mtamwagiwa Upendo na nyie.👇👇
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1810214312855683219?t=mzw7GGfdASZyiBsMY9YabQ&s=19
Kupunguza wale vyeti fakeSawa kafanya vyema. Je, kipengele Cha ku certify vyeti Kina umuhimu gani??
Rais wenu Jiwe si ndio aliliongeza mara nyingi mlisema mnajenga uchumi,shykuni kafa mungesuguw Hadi Sgr zikamilike 😁😁Daah atleast hata hao Elfu10 Watakua na Tumaini wakati ujao 🤔
Lakini hili jambo bado pasua kichwa sana
Kwani wewe sio Mbongo mkuu.. mbona uasema raisi WenuRais wenu Jiwe si ndio aliliongeza mara nyingi mlisema mnajenga uchumi,shykuni kafa mungesuguw Hadi Sgr zikamilike
Rais Samia S Hassan ameendelwa kuonesha kwamba yeye ndio suluhi ya matatizo mbalimbali yanayoikumba jamii Kwa kuendelea kuyatatua Kwa Kasi kubwa.
Kwa Sasa Ma jobless wamefikiwa na Upendo wa mama na moyo wa mshumaa ambapo Serikali yake imetangaza ajiza takribani 10,209 Kwa kada mbalimbali huku 90% ya kazi hizo zikiwa ni Kwa Ajili ya sekta ya afya.
Ikumbukwe mapema mwezi uliopoita Serikali ya mama ilitangaza Ajira zaidi 230 Kwa kada mbalimbali hususani NIT na Shirika la reli.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C9KF-IWtWdC/?igsh=MTBxc21yNWkxbnliYQ==
My Take
Samia ni mtu na nusu,Harmonise hakukosea.Waalimu stay tuned wiki hii mtamwagiwa Upendo na nyie.👇👇
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1810214312855683219?t=mzw7GGfdASZyiBsMY9YabQ&s=19
Kupunguza wale vyeti fake
We nenda ka verify vyeti vyako,kama hutaki ajira achaaa..kila sehemu unalalamika kuhusu verification ya vyeti..waachie ambao wana uhitaji. Sawa?Sidhani kama itakuwa lengo ni Hilo. Kwani mifumo ya NECTA kuanzia ordinary level Hadi advanced level haisomani na mifumo Yao. Pia taarifa za vyuoni hazisomeki au Tanzania ukisha graduate tu na taarifa zako zinapotea/kujifuta automatically? Kama upo karibu nao waambie waondoe hicho kipengele maana ni usumbufu tu Wala hakuna tija yoyote ya kufanya hivyo.
Nataka nijue tu umuhimu wake. Kama hakuna ulazima na umuhimu watoe hicho kipengele.We nenda ka verify vyeti vyako,kama hutaki ajira achaaa..kila sehemu unalalamika kuhusu verification ya vyeti..waachie ambao wana uhitaji. Sawa?
Mkuu usipoteze muda wako kubishana na chawa hata siku moja! Hawa chawa wakiambiwa hata waseme Canada iko Tabata hawapingi!Your choice mkuu, ila huo ni ulemavu wa akili.
Wewe ni mjinga mmja,waambieni Watoto wako au hata wewe kama ni jobless utume maombi.Mkuu usipoteze muda wako kubishana na chawa hata siku moja! Hawa chawa wakiambiwa hata waseme Canada iko Tabata hawapingi!
Nadhani wewe ndio hujui kama umelemaa.Your choice mkuu, ila huo ni ulemavu wa akili.
Wewe ni mjinga mmja,waambieni Watoto wako au hata wewe kama ni jobless utume maombi.
Samia ndio mkombozi wenu na siku zote Nabii hakubaliki kwao mkija kupigishwa doro miaka mingine kama alivyofanya Jiwe ndio mtamkumbuka.
Over 800 jobs 👇👇
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1812756424641896832?t=4VJkRhE8jEQZT1FciFcX2Q&s=19
Punguani kama wewe msiwe mna comment.Nyie ndo maana mnalawitiwa! Aya endelea kutetea ugali wako… uwanja ni wako!
Mama Anawajali Watoto wake 👇👇MUNGU AKUJALIE MAISHA MAREFU , RAIS WANGU, KIPENZI CHA WATANZANIA , MWANGAZA WA WANYONGE, DR SAMIA SULUHU HASSAN.....MAMA UNATOSHA....
Hakuna umuhimu mkuu, ww omba hvy hvy bila ku-certifyNataka nijue tu umuhimu wake. Kama hakuna ulazima na umuhimu watoe hicho kipengele.