benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Katika kuadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanzania Bara tarehe 26 Aprili, 2023 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Ibara 45(1)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 376.
Kati ya wafungwa hao 376 watanufaika na Msamaha huo ambapo 6 wataachiliwa huru tarehe 26/04/2023 na 370 watabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobaki baada ya kupewa Msamaha huu.
www.jamiiforums.com
Kati ya wafungwa hao 376 watanufaika na Msamaha huo ambapo 6 wataachiliwa huru tarehe 26/04/2023 na 370 watabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobaki baada ya kupewa Msamaha huu.
Maadhimisho ya sherehe za miaka 58 ya Muungano, Dkt. Philip Mpango aziongoza Dodoma
Leo ni maadhimisho ya miaka 58 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar na sherehe zimeshaanza kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma na anaeongoza ni makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi hawajahudhuria sherehe za leo...