Rais Samia asamehe wafungwa 376 Maadhimisho ya miaka 59 yaMuungano

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Katika kuadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanzania Bara tarehe 26 Aprili, 2023 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Ibara 45(1)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 376.

Kati ya wafungwa hao 376 watanufaika na Msamaha huo ambapo 6 wataachiliwa huru tarehe 26/04/2023 na 370 watabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobaki baada ya kupewa Msamaha huu.





 
Hii sio sawa kabisa sasa kama mtu amesha tumikia robo ya kifungo unapompa msamaha siinabidi atoke gerezani sasa amesha tumikia robo yakifungo gerezani anabakivipi
 
Naona wafungwa wa madeni hawapewi msamaha, hii habari mbaya kwa Musiba asipo walipa BM na Fatma ataozea gerezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…