Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amejikuta akishindwa kujizuia hisia zake za furaha na shukurani kwa Wanachama na viongozi wa CCM kwa Upendo wao Mkubwa walio uonyesha katika siku ya Leo .Ambayo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake Miaka 65 iliyopita .
Ambapo ilikuja kama Bahati kwa Taifa letu kwa Kuzaliwa kwake Hapa Nchini. Ambapo ni katika kuzaliwa kwake hapa Nchini Tumeona na kushuhudia watu wakipata tabasamu,furaha na matumaini makubwa sana katika Maisha Yao.
Ni kwa kuzaliwa kwake katika ardhi ya Tanzania tumeshuhudia namna ambavyo Taifa letu limepata heshima ya kipekee sana katika anga la kimataifa katika wakati huu wa uongozi wake. Ambapo tumeona ushawishi wa Tanzania ukiwa huu sana .
Ndio Maana leo imekuwa ni kama siku ya kipekee sana hapa Nchini. Kuanzia mitandaoni,kwenye vyombo vya habari mpaka mitaani ni furaha tupu na wananchi wakisherehekea kwa bashasha na tabasamu kubwa sana siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wetu Mpendwa aliye chaguo la Mungu.
Imefikia watu wanatamani kuona siku hii ikiazimishwa kitaifa kila mwaka .kama Sehemu ya kukumbuka Maendeleo na mafanikio makubwa na ya ajabu ambayo yamekuwa kama miujiza hapa Nchini yaliyofanyika ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Huyu Mama ni wa kipekee kabisa. Amepewa kibali na Mungu Mwenyewe.kila anachogusa na kuweka mikono yake ni lazima pafanikiwe. Mungu yupo upande wake na uongozi wake unazo baraka na kibali cha Mungu Mwenyewe.
Mama ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.