Rais Samia ashindwa kujizuia hisia zake za furaha. Awashukuru wana CCM na viongozi kwa kumtakia heri ya Siku yake ya Kuzaliwa

Kuna wakati huwa nafikiria hili linawezekana likawa ni Robot la Mama Abdul analikontrol akiwa ikulu. Haiwezekani nakataa mtu mzima kichwani akawa na akili za uchawa hivi. Mimi nakataa niko tayari kubishana na yeyote yule hadi mwisho hili robot i swear.

Kwanza hushangai halijawahi kukosea spelling hata siku moja, liko so perfect likiandika uchawa wake kwa kuwa liko programmed. Nyie msibishane nalo ni Robot hata uliambie nini utasikia"mama ametufikia, blaah blas....." halina hisia
Unaumia ukiwa wapi huko kusiko na sumu ili unywe na kufa kabisa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amejikuta akishindwa kujizuia hisia zake za furaha na shukurani kwa Wanachama na viongozi wa CCM kwa Upendo wao Mkubwa walio uonyesha katika siku ya Leo .Ambayo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake Miaka 65 iliyopita .

Ambapo ilikuja kama Bahati kwa Taifa letu kwa Kuzaliwa kwake Hapa Nchini. Ambapo ni katika kuzaliwa kwake hapa Nchini Tumeona na kushuhudia watu wakipata tabasamu,furaha na matumaini makubwa sana katika Maisha Yao.

Ni kwa kuzaliwa kwake katika ardhi ya Tanzania tumeshuhudia namna ambavyo Taifa letu limepata heshima ya kipekee sana katika anga la kimataifa katika wakati huu wa uongozi wake. Ambapo tumeona ushawishi wa Tanzania ukiwa huu sana .

Ndio Maana leo imekuwa ni kama siku ya kipekee sana hapa Nchini. Kuanzia mitandaoni,kwenye vyombo vya habari mpaka mitaani ni furaha tupu na wananchi wakisherehekea kwa bashasha na tabasamu kubwa sana siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wetu Mpendwa aliye chaguo la Mungu.

Imefikia watu wanatamani kuona siku hii ikiazimishwa kitaifa kila mwaka .kama Sehemu ya kukumbuka Maendeleo na mafanikio makubwa na ya ajabu ambayo yamekuwa kama miujiza hapa Nchini yaliyofanyika ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Huyu Mama ni wa kipekee kabisa. Amepewa kibali na Mungu Mwenyewe.kila anachogusa na kuweka mikono yake ni lazima pafanikiwe. Mungu yupo upande wake na uongozi wake unazo baraka na kibali cha Mungu Mwenyewe.

Mama ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.View attachment 3215822

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
downloadfile.jpg
 
Dogo kuzaliwa Kwa Yesu ndo kulileta furaha na amani ,usje ukajkomba kumsifia Rais ukapitliza ,Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu ,sifa zinapokua nyingi Kwa mwanadamu badala ya Mungu anaweza Fanya chochote kuzuia Hali iyo... Kwan zamu huko kwenu mbeya hamjabubujkwa na machozi ya furaha kuzaliwa Kwa mama??
 
Mimi ni mkulima mchapakazi sana. Mimi siyo chawa bali ni msema kweli
Kupitia kilimo duni umezika akili Yako ardhini! Serius unakata kabisa unaandika ngonjera kama hiyo! Nasubiri analysis Yako ya mkutano wa Jana na Leo vile utaacha kuwasilisha ajenda muhimu na kuanza kumshika matiti mama Yako! Kwamba maraisi wote katika mkutano walitamani awe mke wao!
 
Ooh.kumbe nashare tarehe ya kuzaliwa na mheshimiwa Rais.
Kwa kweli nimebubujikwa na machozi ya furaha
 
Kupitia kilimo duni umezika akili Yako ardhini! Serius unakata kabisa unaandika ngonjera kama hiyo! Nasubiri analysis Yako ya mkutano wa Jana na Leo vile utaacha kuwasilisha ajenda muhimu na kuanza kumshika matiti mama Yako! Kwamba maraisi wote katika mkutano walitamani awe mke wao!
Embu acha ujinga wako hapa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amejikuta akishindwa kujizuia hisia zake za furaha na shukurani kwa Wanachama na viongozi wa CCM kwa Upendo wao Mkubwa walio uonyesha katika siku ya Leo .Ambayo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake Miaka 65 iliyopita .

Ambapo ilikuja kama Bahati kwa Taifa letu kwa Kuzaliwa kwake Hapa Nchini. Ambapo ni katika kuzaliwa kwake hapa Nchini Tumeona na kushuhudia watu wakipata tabasamu,furaha na matumaini makubwa sana katika Maisha Yao.

Ni kwa kuzaliwa kwake katika ardhi ya Tanzania tumeshuhudia namna ambavyo Taifa letu limepata heshima ya kipekee sana katika anga la kimataifa katika wakati huu wa uongozi wake. Ambapo tumeona ushawishi wa Tanzania ukiwa huu sana .

Ndio Maana leo imekuwa ni kama siku ya kipekee sana hapa Nchini. Kuanzia mitandaoni,kwenye vyombo vya habari mpaka mitaani ni furaha tupu na wananchi wakisherehekea kwa bashasha na tabasamu kubwa sana siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Rais wetu Mpendwa aliye chaguo la Mungu.

Imefikia watu wanatamani kuona siku hii ikiazimishwa kitaifa kila mwaka .kama Sehemu ya kukumbuka Maendeleo na mafanikio makubwa na ya ajabu ambayo yamekuwa kama miujiza hapa Nchini yaliyofanyika ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Huyu Mama ni wa kipekee kabisa. Amepewa kibali na Mungu Mwenyewe.kila anachogusa na kuweka mikono yake ni lazima pafanikiwe. Mungu yupo upande wake na uongozi wake unazo baraka na kibali cha Mungu Mwenyewe.

Mama ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.View attachment 3215822

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mwenye mama yake abdul katulia tu,nyie mliezaliwa na ng'ombe mnamshobokea mama wa watu na mnabubujikwa na machozi kabisa mafi kabisa
 
Back
Top Bottom