Rais Samia ashindwa kujizuia hisia zake za furaha. Awashukuru wana CCM na viongozi kwa kumtakia heri ya Siku yake ya Kuzaliwa

Hofu ya Lissu inaonekana wazi.
 
Donald Trump mungu ambariki kwa kufuta misaada!
Fedha hizo zingetumika kugharamia hii maneno
 
We Mbona kwenye maandamano ya kumpongeza Mama hatujakuona,au ulituahidi uongo halafu ukaishia mitini ?
Na kama ulikuwepo kwenye maandamano, weka picha
 
Embu acha ujinga wako hapa.
Ujinga ulionao umekufubaza akili hata mambo ya msingi unayaona ujinga na ya kijinga unayaona ya maana!
Huo sio ujinga ni ukweli ulioko dhahiri..
Mpaka uitwe mkulima Kuna sifa na vigezo ambavyo unafaa kuwa navyo. Wewe ni mtu unayejitaabisha na vishughuli vidogonvidogo vya kilimo Cha kutizama jua!
 
Your browser is not able to display this video.
 
Laana tupu, unazaa mtoto aina ya huyu shetani kutwa anasifia upumbavu ili apate uteuzi badala ya kufanya kazi alipe kodi na nchi ipate maendeleo. Ni lijitu lijinga haswa halina akili bora lichomwe hata moto
 
Ndicho anacho weza TU.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…