Rais Samia ashiriki futari na watoto yatima na makundi mbalimbali jijini Arusha

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Tukisema Rais Samia ni Mama wa Taifa na Mfariji Wa Taifa tunakuwa tunamaanisha . Rais Samia ni Mama mwenye moyo wa huruma , upendo na ukarimu mkubwa sana. Ni kiongozi ambaye ni Mlezi na Mzazi mwenye Upendo wa kiwango cha Agape yaani Upendo usio na mipaka wala kikomo.

Ni kiongozi mwenye kulipenda Taifa na watu wote. Hana ubaguzi Mama wa Watu. Hana Makuu Mama yetu . Yeye kwake watu wote ni sawa na wana nafasi sawa Mbele yake .

Ni Mama mwenye unyenyekevu wa hali ya Juu sana usio pimika katika mizani ya kibinadamu. Ni ngumu sana kwa Mtu mwenye Wadhifa na cheo alichonacho Rais Samia kukuta akifanya matendo ya kibinadamu ,kiungwana na yenye Kugusa mioyo ya watu kiasi hiki. Ni ngumu kukuta kiongozi Mwenye cheo na Wadhifa wa Urais akijishusha kwa unyenyekevu na kuhudumia watoto kwa kuwapatia chakula.

Kiukweli Rais Samia ni kiongozi wa aina yake haijapata kutokea Hapa Duniani. Hii inaitwa Mungu anakuinua ili ajipatie utukufu wake kupitia kwako.. Hii ndio maana halisi ya mtu kufanyika baraka kwa maisha ya watu. Hii ndio inaitwa Kiongozi mwenye Mungu ndani yake.Hii ndio inaitwa mtumishi wa watu.

Kwa hakika Rais Samia ni Zawadi tunayopaswa kuitunza kwa wivu mkubwa sana. Rais Samia ni Baraka na Neema Kwa Taifa. Ni nuru na Mwanga wa Taifa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Screenshot_20260301-210908_1.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tukisema Rais Samia ni Mama wa Taifa na Mfariji Wa Taifa tunakuwa tunamaanisha . Rais Samia ni Mama mwenye moyo wa huruma , upendo na ukarimu mkubwa sana. Ni kiongozi ambaye ni Mlezi na Mzazi mwenye Upendo wa kiwango cha Agape yaani Upendo usio na mipaka wala kikomo.

Ni kiongozi mwenye kulipenda Taifa na watu wote. Hana ubaguzi Mama wa Watu. Hana Makuu Mama yetu . Yeye kwake watu wote ni sawa na wana nafasi sawa Mbele yake .

Ni Mama mwenye unyenyekevu wa hali ya Juu sana usio pimika katika mizani ya kibinadamu. Ni ngumu sana kwa Mtu mwenye Wadhifa na cheo alichonacho Rais Samia kukuta akifanya matendo ya kibinadamu ,kiungwana na yenye Kugusa mioyo ya watu kiasi hiki. Ni ngumu kukuta kiongozi Mwenye cheo na Wadhifa wa Urais akijishusha kwa unyenyekevu na kuhudumia watoto kwa kuwapatia chakula.

Kiukweli Rais Samia ni kiongozi wa aina yake haijapata kutokea Hapa Duniani. Hii inaitwa Mungu anakuinua ili ajipatie utukufu wake kupitia wake. Hii ndio maana halisi ya mtu kufanyika baraka kwa maisha ya watu. Hii ndio inaitwa Kiongozi mwenye Mungu ndani yake.Hii ndio inaitwa mtumishi wa watu.

View attachment 3550724
Mnufaika wa samiah enjoy kijana ndo wakati wako huu, hata kina pole pole waliinjoy wakati wa MAGUFULI
 
Siasa tu na kiki sio imani yeyote hapa. Mtu unafuga watu umewateka na wengine umewaweka jela leo unatoka unajifanya mtu wa Mungu eti kwa kuvaa kilemba
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tukisema Rais Samia ni Mama wa Taifa na Mfariji Wa Taifa tunakuwa tunamaanisha . Rais Samia ni Mama mwenye moyo wa huruma , upendo na ukarimu mkubwa sana. Ni kiongozi ambaye ni Mlezi na Mzazi mwenye Upendo wa kiwango cha Agape yaani Upendo usio na mipaka wala kikomo.

Ni kiongozi mwenye kulipenda Taifa na watu wote. Hana ubaguzi Mama wa Watu. Hana Makuu Mama yetu . Yeye kwake watu wote ni sawa na wana nafasi sawa Mbele yake .

Ni Mama mwenye unyenyekevu wa hali ya Juu sana usio pimika katika mizani ya kibinadamu. Ni ngumu sana kwa Mtu mwenye Wadhifa na cheo alichonacho Rais Samia kukuta akifanya matendo ya kibinadamu ,kiungwana na yenye Kugusa mioyo ya watu kiasi hiki. Ni ngumu kukuta kiongozi Mwenye cheo na Wadhifa wa Urais akijishusha kwa unyenyekevu na kuhudumia watoto kwa kuwapatia chakula.

Kiukweli Rais Samia ni kiongozi wa aina yake haijapata kutokea Hapa Duniani. Hii inaitwa Mungu anakuinua ili ajipatie utukufu wake kupitia wake. Hii ndio maana halisi ya mtu kufanyika baraka kwa maisha ya watu. Hii ndio inaitwa Kiongozi mwenye Mungu ndani yake.Hii ndio inaitwa mtumishi wa watu.

Kwa hakika Rais Samia ni Zawadi tunayopaswa kuitunza kwa wivu mkubwa sana. Rais Samia ni Baraka na Neema Kwa Taifa. Ni nuru na Mwanga wa Taifa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3550724
Huyo yalama wa Kizimkazi hana hata aibu. Usikute baadhi ya hao yatima wamekuwa yatima kwasababu majambazi wake waliwaua wazazi wao!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tukisema Rais Samia ni Mama wa Taifa na Mfariji Wa Taifa tunakuwa tunamaanisha . Rais Samia ni Mama mwenye moyo wa huruma , upendo na ukarimu mkubwa sana. Ni kiongozi ambaye ni Mlezi na Mzazi mwenye Upendo wa kiwango cha Agape yaani Upendo usio na mipaka wala kikomo.

Ni kiongozi mwenye kulipenda Taifa na watu wote. Hana ubaguzi Mama wa Watu. Hana Makuu Mama yetu . Yeye kwake watu wote ni sawa na wana nafasi sawa Mbele yake .

Ni Mama mwenye unyenyekevu wa hali ya Juu sana usio pimika katika mizani ya kibinadamu. Ni ngumu sana kwa Mtu mwenye Wadhifa na cheo alichonacho Rais Samia kukuta akifanya matendo ya kibinadamu ,kiungwana na yenye Kugusa mioyo ya watu kiasi hiki. Ni ngumu kukuta kiongozi Mwenye cheo na Wadhifa wa Urais akijishusha kwa unyenyekevu na kuhudumia watoto kwa kuwapatia chakula.

Kiukweli Rais Samia ni kiongozi wa aina yake haijapata kutokea Hapa Duniani. Hii inaitwa Mungu anakuinua ili ajipatie utukufu wake kupitia wake. Hii ndio maana halisi ya mtu kufanyika baraka kwa maisha ya watu. Hii ndio inaitwa Kiongozi mwenye Mungu ndani yake.Hii ndio inaitwa mtumishi wa watu.

Kwa hakika Rais Samia ni Zawadi tunayopaswa kuitunza kwa wivu mkubwa sana. Rais Samia ni Baraka na Neema Kwa Taifa. Ni nuru na Mwanga wa Taifa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

View attachment 3550724
Wazazi wa hao watoto nao ni wajinga. Yaani mi nimruhusu mtoto wangu amepewe chakula na huyo muuaji. Siwezi over my dead body
 
Hakika Mama wa Watanzania wote amefanya sawasawa na apendavyo Mtume kipenzi cha Allah kusisitiza kushiriki iftar na wanyonge, mayatima, Walwmavu, wajane na Masikini
Idd Mubarak
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tukisema Rais Samia ni Mama wa Taifa na Mfariji Wa Taifa tunakuwa tunamaanisha . Rais Samia ni Mama mwenye moyo wa huruma , upendo na ukarimu mkubwa sana. Ni kiongozi ambaye ni Mlezi na Mzazi mwenye Upendo wa kiwango cha Agape yaani Upendo usio na mipaka wala kikomo.

Ni kiongozi mwenye kulipenda Taifa na watu wote. Hana ubaguzi Mama wa Watu. Hana Makuu Mama yetu . Yeye kwake watu wote ni sawa na wana nafasi sawa Mbele yake .

Ni Mama mwenye unyenyekevu wa hali ya Juu sana usio pimika katika mizani ya kibinadamu. Ni ngumu sana kwa Mtu mwenye Wadhifa na cheo alichonacho Rais Samia kukuta akifanya matendo ya kibinadamu ,kiungwana na yenye Kugusa mioyo ya watu kiasi hiki. Ni ngumu kukuta kiongozi Mwenye cheo na Wadhifa wa Urais akijishusha kwa unyenyekevu na kuhudumia watoto kwa kuwapatia chakula.

Kiukweli Rais Samia ni kiongozi wa aina yake haijapata kutokea Hapa Duniani. Hii inaitwa Mungu anakuinua ili ajipatie utukufu wake kupitia wake. Hii ndio maana halisi ya mtu kufanyika baraka kwa maisha ya watu. Hii ndio inaitwa Kiongozi mwenye Mungu ndani yake.Hii ndio inaitwa mtumishi wa watu.

Kwa hakika Rais Samia ni Zawadi tunayopaswa kuitunza kwa wivu mkubwa sana. Rais Samia ni Baraka na Neema Kwa Taifa. Ni nuru na Mwanga wa Taifa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

View attachment 3550724
Hao watoto waangalie hilo jishangazi lisije likaagiza wamiminiwe risasi.
 
Bwana asema hivi, Je, umeua ukatamalaki? Nawe utamwambia ukisema: Bwana asema hivi, mahali pale mbwa walipoilamba damu ya Nabothi, mbwa watailamba na damu yako, naam, damu yako.
 
Back
Top Bottom