Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
hizo ni ghost project ziatishia kwenye media tu lkn utekelezaji wake ni mgumu sana ni kama ilivyokuwa kwa vijiji vya ujamaa vilivyoanzishwa na hayati jkn.kilimo bila maji halafu utegemee mvua ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.RAIS SAMIA KUZINDUA MPANGO WA MASHAMBA MAKUBWA KATIKA PROGRAM YA BBT- ASUBUHI HII.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Mashamba makubwa ya pamoja katika programu ya Building Better Tomorrow (BBT). Hafla hii inafanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma kuanzia saa 5: 30 asubuhi hii.
Fuatilia mubashara matangazo haya kupitia Televisheni na mitandao ya kijamii.
#Hakunakilichosimama
#KaziInaendelea.
Vijana wamesha pangiwa vituo vya kujifunza gharama zote za serikali. Kwa ubia wa NMB na other private sectors waki maliza ni mtelezo tu acheni wivu kwenye baadhi ya mambo..kufikia mwezi wa 8 mtakua mme pata feedbackhizo ni ghost project ziatishia kwenye media tu lkn utekelezaji wake ni mgumu sana ni kama ilivyokuwa kwa vijiji vya ujamaa vilivyoanzishwa na hayati jkn.kilimo bila maji halafu utegemee mvua ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Kwamba watalima Mwezi wa 8?Vijana wamesha pangiwa vituo vya kujifunza gharama zote za serikali. Kwa ubia wa NMB na other private sectors waki maliza ni mtelezo tu acheni wivu kwenye baadhi ya mambo..kufikia mwezi wa 8 mtakua mme pata feedback
Namaanisha watakua wame anza process maana ni kilimo cha umwagiliajiKwamba watalima Mwezi wa 8?
Huo mradi kuanza onesha matunda ni miaka 3 ijayo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
We tafuta hela uje ununue maeneo ya hao watuNamaanisha watakua wame anza process maana ni kilimo cha umwagiliaji
Kilimo Cha umwagiliaji? Maji wanayatoa wapi maana walisema kuna ukame na kilia daliwa hadi kipindi kuonyesha kuwa nchi inakumbwa na ukame. Au huu ukame ni kwenye umeme tu sio huko kwenye kilimo?Namaanisha watakua wame anza process maana ni kilimo cha umwagiliaji
Ile ndege kwa sasa ndio inatumika, anakuja Dar kimya kimya, anarudi Dodoma kimya kimya.Hili suala la leo yupo Dar kesho yupo dodoma liangaliwe mara 2 hatuwezi kuibeba hii gharama watanzania achaguwe ikulu moja ya kufanyia kazi.
Wamejenga mabwawaKilimo Cha umwagiliaji? Maji wanayatoa wapi maana walisema kuna ukame na kilia daliwa hadi kipindi kuonyesha kuwa nchi inakumbwa na ukame. Au huu ukame ni kwenye umeme tu sio huko kwenye kilimo?
Tumia akili kidogo, huko Kuna shughuli ameenda kufanya. Ulitaka atembee na ikulu mgongoni?Hili suala la leo yupo Dar kesho yupo dodoma liangaliwe mara 2 hatuwezi kuibeba hii gharama watanzania achaguwe ikulu moja ya kufanyia kazi.
Kilimo Cha umwagiliaji? Maji wanayatoa wapi maana walisema kuna ukame na kilia daliwa hadi kipindi kuonyesha kuwa nchi inakumbwa na ukame. Au huu ukame ni kwenye umeme tu sio huko kwenye kilimo?
Mvua zipi na maji yapi Tena? Unajua huwa ni kama hamueleweki huko. Dodoma hii kila siku humu mnalalamika ukameWater basin ni kubwa sana Dodoma, na maji mengine for irritation schemes yanaweza patikana kwenye Man made dams kubwa kubwa na kuvuna maji ya mvua for all season ya kilimo na pia waki drill maji mengi sana Dodoma. Acha kuwa short sighted, myopic..!!