Mwanzo mzuriVijana wamesha pangiwa vituo vya kujifunza gharama zote za serikali. Kwa ubia wa NMB na other private sectors waki maliza ni mtelezo tu acheni wivu kwenye baadhi ya mambo..kufikia mwezi wa 8 mtakua mme pata feedback
Huo mradi hautegemei mvua. Ni mradi wa umwagiliaji.hizo ni ghost project ziatishia kwenye media tu lkn utekelezaji wake ni mgumu sana ni kama ilivyokuwa kwa vijiji vya ujamaa vilivyoanzishwa na hayati jkn.kilimo bila maji halafu utegemee mvua ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Hiko kinachomwagiliwa ni upepo? Kama kuna ukame hayo maji ya kumwagiliwa yatatoka wapi?Huo mradi hautegemei mvua. Ni mradi wa umwagiliaji.
Mkuu, unataka kusema umwagiliaji hauwezekani Dodoma ?Kilimo Cha umwagiliaji? Maji wanayatoa wapi maana walisema kuna ukame na kilia daliwa hadi kipindi kuonyesha kuwa nchi inakumbwa na ukame. Au huu ukame ni kwenye umeme tu sio huko kwenye kilimo?
Vyanzo vya maji kwa ajili ya umwagiliaji ni vingi mkuu.Hiko kinachomwagiliwa ni upepo? Kama kuna ukame hayo maji ya kumwagiliwa yatatoka wapi?
Nimekujibu post #25Hiko kinachomwagiliwa ni upepo? Kama kuna ukame hayo maji ya kumwagiliwa yatatoka wapi?
Kwa mazao tunayolima hakuna linalozidi miezi 6,tatizo hamuamini Kama yanatokeaKwamba watalima Mwezi wa 8?
Huo mradi kuanza onesha matunda ni miaka 3 ijayo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Dodoma Ina maji mengi ardhini,watu hawakurupuki,mbona unaumia..una shida gani!?Mvua zipi na maji yapi Tena? Unajua huwa ni kama hamueleweki huko. Dodoma hii kila siku humu mnalalamika ukame
Tukubaliane hizi habari za ukame sio za Kweli, lakini ikiwa ni hivyo basi Kuna waziri ni muongo
Una hoja mkuu.Hili suala la leo yupo Dar kesho yupo dodoma liangaliwe mara 2 hatuwezi kuibeba hii gharama watanzania achaguwe ikulu moja ya kufanyia kazi.
Zichewe mara ngapi wakati alishaanzisha kampuni yake binafsi kwa kutakatishia?Hii ni Leo katika uzinduzi wa mashamba ya kwanza ya block farming Kwa Ajili ya vijana na wanawake..
Program ya BBT inalenga kutoa Ajira Zaidi ya mil.3 Kwa Vijana na wanawake kwenye Kilimo..
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] utoto mwingi utakuwa lin we jamaaHii ni Leo katika uzinduzi wa mashamba ya kwanza ya block farming Kwa Ajili ya vijana na wanawake..
Program ya BBT inalenga kutoa Ajira Zaidi ya mil.3 Kwa Vijana na wanawake kwenye Kilimo..
Hiyo program imeratibiwa Kwa Kila kitu, unadhani wanaolima kienyeji kama huko mtaani kwenu?Vijana wanalima je sehemu yakuuzia mazao yao ipo kweli???
Nina mifano mingi, wakulima wamelima zabibu, hawana pakuuzi hadi wanakopwa na kampuni zakutengeneza wine
Utoto upi sasa we kubwa jinga[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] utoto mwingi utakuwa lin we jamaa
Sijasema haiwezekani Ila najaribu kuwaza waliosema tuna tatizo la ukame, ndio nauliza Kama tuna ukame kwa nn tena serikali ijena program za umwagiliaji?Mkuu, unataka kusema umwagiliaji hauwezekani Dodoma ?
Kwa hiyo ukame haupo?Vyanzo vya maji kwa ajili ya umwagiliaji ni vingi mkuu.
1. Mvua (muda ambao inanyesha, unajenga mifereji kuyapeleka maji shambani)
2. Kuvuna maji ya mvua na kuyaweka kwenye mabwawa makubwa ili baadae uyapeleke shambani. (Kutoyaacha maji ya mvua "yaende zake")
3. Kuchimba maji ya chini (underground water) na kuya pump kwenda shambani.
4. Na njia nyinginezo.
Sidhani kama options zote hizo zinashindikana kwa Dodoma (au eneo jingine lolote).
Kama Dodoma inasifika kwa kilimo cha zabibu, maana yake to some point Dodoma inapata maji ambayo mnaweza kuya utilise kwa ajili ya umwagiliaji.
Vinginevyo tukubaliane kwamba hata hizo zabibu zinakua kwa NGUVU YA UPEPO