ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Huu mradi hauwezi kufanikiwa kama hakuna soko wala financing, kwa ufupi ni mradi hewa! Tatizo kubwa lililopo na jambo la kujiuliza je hayo mashamba yanatolewa bure??? Cha pili je fedha za kuendeshea kilimo anatoa nani??? Je masoko ya mazao yapo wazi?? Kitakachotokea ni block farming moja au mbili na vijana watatelekezwa na habari itaishia hapo.Hii ni Leo katika uzinduzi wa mashamba ya kwanza ya block farming Kwa Ajili ya vijana na wanawake..
Program ya BBT inalenga kutoa Ajira Zaidi ya mil.3 Kwa Vijana na wanawake kwenye Kilimo..
Wapi naumia? Humu ndio mnasema Dodoma Kuna ukame mkubwa, pia nchi imekumbwa na ukameDodoma Ina maji mengi ardhini,watu hawakurupuki,mbona unaumia..una shida gani!?
Kwa hiyo serikali ni wajinga sana Hadi wewe unayajua hayo si ndio?Huu mradi hauwezi kufanikiwa kama hakuna soko wala financing, kwa ufupi ni mradi hewa! Tatizo kubwa lililopo na jambo la kujiuliza je hayo mashamba yanatolewa bure??? Cha pili je fedha za kuendeshea kilimo anatoa nani??? Je masoko ya mazao yapo wazi?? Kitakachotokea ni block farming moja au mbili na vijana watatelekezwa na habari itaishia hapo.
Nadhani haujapendezwa tu na huo mradi. Mimi naelewa.Kwa hiyo ukame haupo?
Unaona mbali!
Ukiufuatilia vizuri huo mradi katika maelezo yao, vitu vyote ulivyovigusia hapo juu wamevieleza na viko covered.Huu mradi hauwezi kufanikiwa kama hakuna soko wala financing, kwa ufupi ni mradi hewa! Tatizo kubwa lililopo na jambo la kujiuliza je hayo mashamba yanatolewa bure??? Cha pili je fedha za kuendeshea kilimo anatoa nani??? Je masoko ya mazao yapo wazi?? Kitakachotokea ni block farming moja au mbili na vijana watatelekezwa na habari itaishia hapo.
Mkuu Mwanamaji, hebu fafanua kidogo! Unaposema "hautegemei mvua" kwa kumpinga aliyetoa hoja kwamba mvua hakuna.. ambaye alimaanisha kwamba kama hakuna mvua na hivyo kutakuwa na ukame kwenye vyanzo vya maji kama mito na mabwawa na hivyo kutatiza hiyo miradi. Ebu fafanua.Huo mradi hautegemei mvua. Ni mradi wa umwagiliaji.
Huu ni mkopo mkuu 'Mr Devil', tutakaoulipa walipa kodi wote.Vijana wamesha pangiwa vituo vya kujifunza gharama zote za serikali. Kwa ubia wa NMB na other private sectors waki maliza ni mtelezo tu acheni wivu kwenye baadhi ya mambo..kufikia mwezi wa 8 mtakua mme pata feedback
Nani anapambana na maisha ya maisha ya watanzania?.Pigo kubwa kwa walinda legacy!!
Mkuu huu mradi ni muhimu sana kwa uchumi wa Taifa. Kwa mtazamo wangu naona utekelezaji wake uta-tatiza kidogo ama zitatumika nguvu nyingi hadi kupata mafanikio.Huu ni mkopo mkuu 'Mr Devil', tutakaoulipa walipa kodi wote.
Mkuu umepogilia penyewe. Bahati mbaya wana JF tunajadili tu habari eti Dkt Magufuli alikuwa Dikteta au Rais Dkt Samia serikali yake imerejesha rushwa mpaka tunapitwa na mambo muhimu kama haya. Kwa kuongezea tu hakuna benki inayojitambua itatoa mkopo kwa hizi block farming kwa sababu risk ni nyingi mno, ukiachana tu na risk ya hali ya hewa masoko ya mazao ya kilimo kwa nchi yetu hayatabiliki, kuna cartel inanunua lumbesa ya kil 150 kwa bei ya kilo 100 halafu uje uiambie inunue lumbesa ya kilo 100 kwa bei halisi lazima wakuue. The idea ni nzuri sana shida ipo kwenye mambo mengi yanapaswa kufanyiwa kazi kizalendo tena kwa roho ngumu.Mkuu huu mradi ni muhimu sana kwa uchumi wa Taifa. Kwa mtazamo wangu naona utekelezaji wake uta-tatiza kidogo ama zitatumika nguvu nyingi hadi kupata mafanikio.
Nilizani ingekuwa bora kuwatumia mabwana na mabibi shamba kupitia Halmashauri hao kuwatambua vijana ambao tayari ni wakuliwa huko vijijini na kuwapatia hiyo mitaji na nyenzo za kufanyia kazi. Vijana hawa tayari wana maarifa na ujuzi wa kilimo ila wanakosa mitaji.. Hivyo naamini kabisa wakiwezeshwa kwanza hawa wa vijijini na kwa vile wana ujuzi na uzoefu wa kilimo watafanya kazi mzuri, ambayo itawaingizia fedha nyingi na hivyo kutatua matatizo yao ya kimaendeleo kama kujenga nyumba bora, kusomesha watoto wao kwenye shule bora, kununua tractor ama gari n.k; Hivyo basi kama hawa watakuwa wamepata mafanikio hiyo, basi pasipo na shaka hao wa mjini, wenyewe wataipenda kazi ya kilimo, na wataanza mikakati ya kurudi vijijini ili wakaungane na wenzao katika kilimo.
Ninakubaliana na mawazo yako.Mkuu huu mradi ni muhimu sana kwa uchumi wa Taifa. Kwa mtazamo wangu naona utekelezaji wake uta-tatiza kidogo ama zitatumika nguvu nyingi hadi kupata mafanikio.
Nilizani ingekuwa bora kuwatumia mabwana na mabibi shamba kupitia Halmashauri hao kuwatambua vijana ambao tayari ni wakuliwa huko vijijini na kuwapatia hiyo mitaji na nyenzo za kufanyia kazi. Vijana hawa tayari wana maarifa na ujuzi wa kilimo ila wanakosa mitaji.. Hivyo naamini kabisa wakiwezeshwa kwanza hawa wa vijijini na kwa vile wana ujuzi na uzoefu wa kilimo watafanya kazi mzuri, ambayo itawaingizia fedha nyingi na hivyo kutatua matatizo yao ya kimaendeleo kama kujenga nyumba bora, kusomesha watoto wao kwenye shule bora, kununua tractor ama gari n.k; Hivyo basi kama hawa watakuwa wamepata mafanikio hiyo, basi pasipo na shaka hao wa mjini, wenyewe wataipenda kazi ya kilimo, na wataanza mikakati ya kurudi vijijini ili wakaungane na wenzao katika kilimo.
Unakumbuka Big Result Now ilivyofeli???Ninakubaliana na mawazo yako.
Kwa hiyo tayari mradi umeanza na makosa, na tutegemee makosa mengi zaidi kwenda mbele.
Kama ilivyo kwa mipango yetu mingi yenye malengo mazuri, lakini inapofika kwenye utekelezaji, hapo ndipo hatuna uwezo kabisa.
Nadhani kuna umuhimu kuanza kutazama matatizo haya ya utekelezaji na kuyatilia mkazo katika kuyatatua.
Tena sana, na hakuna anayeizungumzia hadi leo, kwani haikumbukwi tena!Unakumbuka Big Result Now ilivyofeli???
Hili ni tatizo linalohitaji kushikiwa bango.Ni mradi wa UVCCM. Nawafahamu Jamaica kama 10 having wa UVCCM walioenda kwenye BBT pia wamo Makatibu waenezi,wajumbe wa Mkutano mkuu na wajumbe wa NEC ambao wengi wao want uchumi mzuri. Hii nchi inanyonya sana watu maskini kwa mgongo wa chamade.
Uko sahihi mkuu.Mkuu huu mradi ni muhimu sana kwa uchumi wa Taifa. Kwa mtazamo wangu naona utekelezaji wake uta-tatiza kidogo ama zitatumika nguvu nyingi hadi kupata mafanikio.
Nilizani ingekuwa bora kuwatumia mabwana na mabibi shamba kupitia Halmashauri hao kuwatambua vijana ambao tayari ni wakuliwa huko vijijini na kuwapatia hiyo mitaji na nyenzo za kufanyia kazi. Vijana hawa tayari wana maarifa na ujuzi wa kilimo ila wanakosa mitaji.. Hivyo naamini kabisa wakiwezeshwa kwanza hawa wa vijijini na kwa vile wana ujuzi na uzoefu wa kilimo watafanya kazi mzuri, ambayo itawaingizia fedha nyingi na hivyo kutatua matatizo yao ya kimaendeleo kama kujenga nyumba bora, kusomesha watoto wao kwenye shule bora, kununua tractor ama gari n.k; Hivyo basi kama hawa watakuwa wamepata mafanikio hiyo, basi pasipo na shaka hao wa mjini, wenyewe wataipenda kazi ya kilimo, na wataanza mikakati ya kurudi vijijini ili wakaungane na wenzao katika kilimo.
Dkt Kikwete alikuwa na nia njema kabisa tatizo wajanja wali dandia gari kwa mbele wakachukua usukaniTena sana, na hakuna anayeizungumzia hadi leo, kwani haikumbukwi tena!