I think the idea was good lakini inapokuja kwenye planning of who is to do what where ndipo kuna changamoto. Huwezi kugawa ardhi kwa wengi lakini unaweza kugawa mapato kwa wengi...Hizi frameworks zipo duniani na kuna ambazo zimefanikiwa. Tatizo ni walioshiriki wanatumia common sense badala ya expertise ama hawana uelewa kabisa ya concept yenyewe...Kwanza kuanza new farms wakati zile old zipo ni utumiaji mbaya wa rasilimali ya ardhi na ni uharibifu wa mazingira ambao pia una long term effect kwenye program yenyewe.......Kisha kutumia pesa ya walipa kodi kwenda ku train wakati mtaani wapo kibao waliokuwa trained i.e vijana wenye vyeti vya kilimo kuanzia certificates mpaka PhDs na ambao wameshakaa kwenye kilimo na ambao wana hands on skills i.e vijana wakulima walioko rural, it means ni duplications tena isiyo na tija unaongeza competition badala ya kuwezesha hao waliopo, thats coordination failure tayari ...How do you improve farms that are already available bila ku add new ones lilitakiwa kuwa swali la kwanza this is two sector model issues ambayo ina shortcomings zake zilizotakiwa kuwa ironed out na kuwa mitigated na siyo ku assume ceteris peribus, how do you use these human resources bila kufanya economic displacements kuanzia wasio na skills, walio na skills hawana knowledge, walio na skills na knowledge lilikuwa swali la pili...etc etc...Welfare analysis zinasemaje maana kwa development yeyote lazima kuwe na losers na gainers between and amongst i.e kwenye producers na consumers who are these na how much is each category losing or gaining, what is net social welfare effects ukihusisha serikali kwenye hiyo function? I.e subsidies or taxes, how will the losers be compensated?
Waziri anasema watatangaza tender ya investors who are these na je hiyo quota yao ipo protected within au ndiyo not protected je ikiwa captured na foreigners what will be the social net effect? Will it not be a means of capital flight, how?
Kuna issue ya international trade, je katika hiyo tutakuwa large country ama small, what will be the social welfare effects, kuanzia kwa producers wetu, consumers wetu na mwisho nchi yenyewe net effect ni ipi. How will trade be tutaenda kama block ama kama individuals, what are WTO effects kwetu kivipi na tutakabiliana nayo ki vipi? Tunategemea externalities nyingi tu, je trade policy yetu ita intervene ki vipi, imekuwa harmonized na hizi programs?
Hizi zote ni technical problems zinazohitaji modeling na simulations ambazo ukiuliza, nimejaribu kwa some wahusika wao randomly hakuna mwenye majibu zaidi ya common sense...
Then badala ya hizo kupata majibu kabla ya kwenda kwenye soko, wakazipeleka kabla ya synthesis, hatari wanayokutana nayo sasa ni hii political effects, losers wakiwa ni wale wenye influence Rais atashindwa kuhimili public cry na anaweza ku abandon the plan hasa kwakua kuna chaguzi karibu....