Rais Samia ashiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, Mei 25, 2023

Rais Samia ashiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, Mei 25, 2023

Kusita maana yake una utimamu wa akili.
Ila kama mtu anasema wewe hausiti kwenye maamuzi maana yake anakuona kuwa weww ni nyumbu au ngiri yaani ni wa kukurupuka tu
 
Hilo halibadilishi ukweli kwamba bado mama yetu mpendwa bado ni Rais wako hata wewe uliyeandika hizi porojo hapa,kama vipi hamia uganda basi..yaani bado tu hamuamini kama shughuli ya yule bwana ilishaisha? Mtakufa kwa sonona!
 
Ni jambo jema

Ndugu hawa!
Birds of a feather flock together is an English proverb. The meaning is that beings (typically humans) of similar type, interest, personality, character, or other distinctive attribute tend to mutually associate. 😀 😀 😀 😀
 
yajayo yanafurahisha, ngojeni wengine wakitangulia misafara ya kwenda kunako nyumba ya milele watandikiwe kanga kama mwamba. achana na huyo bwana kabisa hiyo ni namba ingine.
 
Jambo Jambo?

View attachment 2634335


Ni kwenye uzinduzi wa mradi wa kufua umeme wa kikagati murongo.

Kasema kuwa bila magufuli huo mradi shirikiano kati ya Tanzania na Uganda bila magufuli usingekuwepo na kufikia hapo.

Kagera Tunanunua Umeme kutoka Uganda maeneo ya Masaka, Ila sasa mradi wa murongo italisha umeme Kagera

Nimehesabu na kama sikosei Museveni kamtaja Magufuli zaidi ya mara 16 huku samia akitajwa mara chache na nadhani haijazidi mara 3 si kama kule Chamwino na uzinduzi wao wa Ikulu huku wakikwepa kumtaja Mwamba.

Na amesema Magufuli alikuwa si mtu wa kusitasita siku ya kwanza kwenye majadiliano magufuli aliwaagiza watendaji wa wizara kuanza kulishughulikia swala hili siku hiyohiyo.

Na kama nimemsikia anasema kuwa alikuwa na mpango huo mradi auiite magufuli sema kwasababu waliowekeza ni kampuni binafsi hivyo wao wana mamlaka na si yeye


View attachment 2634340
View attachment 2634338

View attachment 2634365


(Kama wewe ni muwashwaji na unataka kukunwa tafadhali tafuta kwingine siyo kweny uzi huu usije hapa ukiwa umeshiba udaga na maharage ukaja kutoa pumba UTAKUTANA NA MAJIBU MAKALI. Jibu hoja kwa hoja)


Nshomile wa muleba
Kwasasa
Dar es salaam,Tanzania

SASA NYIE MODS MNAUNGANISHA UZI WANGU NA JAMAA KWANINI?

YEYE ANARIPOTI TUKIO MIMI NIMERIPOTI MAGUFULI KUTAJWA NA SIYO UZINDUZI WA HIYO HAFLA

WEWE MOD ULIYEUNGANISHA HUU UZI HUJITAMBUI NA NINA MASHAKA NA UTIMAMU WA AKILI YAKO

ALAAAA
 
MW 16 ila wanavyojikusanya, Siku hizi wind turbine moja inazalisha umeme kama huo. Imagine viongozi wawili wa nchi wanaenda kuzindua wind turbine moja!! Usikute gharama za uzinduzi zikafika hata 10 percent ya mradi.
 
Nimeishi pale murongo kwakweli wanakijiji watanufaika I'la hapo hapo wenzetu Uganda mtambo wao nimkubwa walituwahi kutangulia kujenga kwakuwa uzalishaji umeweka jirani jirani lingekuwa sisi wenyewe tungepata kv nyingi
Je huko Kuna free movement ya people kwenye boda ?
 
Back
Top Bottom