Rais Samia ashiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, Mei 25, 2023

Kusita maana yake una utimamu wa akili.
Ila kama mtu anasema wewe hausiti kwenye maamuzi maana yake anakuona kuwa weww ni nyumbu au ngiri yaani ni wa kukurupuka tu
 
Hilo halibadilishi ukweli kwamba bado mama yetu mpendwa bado ni Rais wako hata wewe uliyeandika hizi porojo hapa,kama vipi hamia uganda basi..yaani bado tu hamuamini kama shughuli ya yule bwana ilishaisha? Mtakufa kwa sonona!
 
Ni jambo jema

Ndugu hawa!
Birds of a feather flock together is an English proverb. The meaning is that beings (typically humans) of similar type, interest, personality, character, or other distinctive attribute tend to mutually associate. 😀 😀 😀 😀
 
yajayo yanafurahisha, ngojeni wengine wakitangulia misafara ya kwenda kunako nyumba ya milele watandikiwe kanga kama mwamba. achana na huyo bwana kabisa hiyo ni namba ingine.
 
Habari yote hakuna mahali inaonyesha umeme ni wa kiwango gani. Yaani umeshindwa kutaja umeme ni wa MG ngapi?
16 ni kazi ya magufuli hii

USSR
 

SASA NYIE MODS MNAUNGANISHA UZI WANGU NA JAMAA KWANINI?

YEYE ANARIPOTI TUKIO MIMI NIMERIPOTI MAGUFULI KUTAJWA NA SIYO UZINDUZI WA HIYO HAFLA

WEWE MOD ULIYEUNGANISHA HUU UZI HUJITAMBUI NA NINA MASHAKA NA UTIMAMU WA AKILI YAKO

ALAAAA
 
MW 16 ila wanavyojikusanya, Siku hizi wind turbine moja inazalisha umeme kama huo. Imagine viongozi wawili wa nchi wanaenda kuzindua wind turbine moja!! Usikute gharama za uzinduzi zikafika hata 10 percent ya mradi.
 
Nimeishi pale murongo kwakweli wanakijiji watanufaika I'la hapo hapo wenzetu Uganda mtambo wao nimkubwa walituwahi kutangulia kujenga kwakuwa uzalishaji umeweka jirani jirani lingekuwa sisi wenyewe tungepata kv nyingi
Je huko Kuna free movement ya people kwenye boda ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…