Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha siku ya Kizimkazi - Paje tarehe 31 Agosti, 2023 visiwani Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa Building a Better Tomorrow (BBT) hautaishia Tanzania bara peke, bali utaenda hadi Tanzania visiwani ili usaidie vijana wa huko waweze kunufaika pia.
Amewataka wananchi kushiriki kikamilifu kutoa maoni kwenye maandaliizi ya dira ya maendeleo ya nchi yetu ambapo kwa sasa Serikali inakusanya maoni ili kukidhi uhitaji wa miaka 25 ijayo.