Rais Samia ashiriki kilele cha siku ya Kizimkazi, Paje, Zanzibar, leo Agosti 31, 2023

Rais Samia ashiriki kilele cha siku ya Kizimkazi, Paje, Zanzibar, leo Agosti 31, 2023

9. Msikiti
Ma Shaa Allah, siku hizi hata wachezaji wengi wa Ulaya ni Waislam, wakija kupiga kambi ya siku mbili tatu, wasikose pakusali.

1693478607061.png
 
Hizi ni kodi za watu siyo mali ake binafsi
Wewe umeanza kulipa kodi au bado unalipiwa?

Zipo hata kodi za mifugo zinatumika pia.

Umesikia kuwa TASAF wameijenga upya shule ya msingi aliyosoma mama Samia?

Vodacom wamefunga mfumo wa E learning shule zote za Kizimkazi.
 
Wewe umeanza kulipa kodi au bado unalipiwa?

Zipo hata kodi za mifugo zinatumika pia.

Umesikia kuwa TASAF wameijenga upya shule ya msingi aliyosoma mama Samia?
We ajuza huna akili, unadhani na mimi ni mstaafu kama wewe? mimi nalipa kuanzia kwenye bia mpk ninapolala
 
We ajuza huna akili, unadhani na mimi ni mstaafu kama wewe? mimi nalipa kuanzia kwenye bia mpk ninapolala
Mama amesema In shaa Allah Mwakani festival ya Kizimkazi kufanyiwa kwenye Sports Acadey mpya *brand new).

Unafahamu sasa Tanzania tuna kiwanja hapo Kizimkazi cha Beach soccer kama Brazil?

Unafahamu kuwa Simba Ports Club wamesha book wawe wa kwanza kuweka kambi hapo Sports Academy?

Tumemwambia mama wasipewe, ufanywe mnada wa kimataifa, ataelipa zaidi ndiye wa kwanza.
 
Wapuuzi nyie pesa zinatoka bara
 
Katika Upuuzi aliotuachia JPM kwa kuuanzisha ni huu wa kuona fahari kupeleka maendeleo kwenu sababu ni kwenu na sio sababu yanahitajika zaidi ya pengine..., Yaani unasahau Tanzania ni Moja na in a Perfect world hauhitaji Passport...

Na hii ndio precedence aliyoacha JPM kwa kuua kazi nzuri waliyofanya waasisi we were Poor with nothing else but Unity as a Country tunapoelekea tutaka a Country with absolute nothing....
 
Hiki ndio anchoweza kula bata tu na wapigaji ambao kawakumbatia wanalijua hili full masafari.ili watuibie.mm na family yangu pamoja na ukoo wng tunataka bandari tu
We umeweza kufanya nini mpaka sahivi
 
Matumizi mabovu ya pesa za walipa kodi nukta!
 
Back
Top Bottom