Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Duu hii kali Kariakoo kuna mashujaa gani zaidi ya wale mashujaa wa vijiwe vya kahawa? Mohamed SaidWalale salama wazee wetu wa kariakooo waliojitoa kwa hali na mali kupigania uhuru wa nchi hii.
Unamjua ABDULWAHID SYKES??UNAMJUA MSHUME KIYATE??UNAMJUA DOSSA AZIZ??HUWEZI KUWAJUA...Duu hii kali Kariakoo kuna mashujaa gani zaidi ya wale mashujaa wa vijiwe vya kahawa? Mohamed Said
πππ
Wote nawajua hao wote walikua marafiki wa babu yangu, Mzee Rupia mbona hayupo hapo?Unamjua ABDULWAHID SYKES??UNAMJUA MSHUME KIYATE??UNAMJUA DOSSA AZIZ??HUWEZI KUWAJUA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yanayofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2024.
Siku hii ya kuwakumbuka mashujaa huambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo dua na sala maalum ya kuwaombea mashujaa waliopoteza maisha na kuiombea amani nchi kutoka kwa viongozi wa dini. Pamoja na hayo hufanyika gwaride maalum kwa ajili ya mashujaa wetu.
Tangu lini wanywa ghahawa na visheti wakawa mashujaa ?.Duu hii kali Kariakoo kuna mashujaa gani zaidi ya wale mashujaa wa vijiwe vya kahawa? Mohamed Said
πππ