Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, Viwanja vya Chinangali - Dodoma, leo Februari 1, 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini - Viwanja vya Chinangali - Dodoma leo tarehe 01 Februari, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Chinangali kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.

Baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Rufani wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa na ule wa Afrika Mashariki kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.


Mawaziri pamoja na Makatibu Wakuu wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.


Mawaziri pamoja na Makatibu Wakuu wakiwa kwenye Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma tarehe 01 Februari, 2024.
 
Mpango wa kupora Uchafuzi ujao uko kwa mujibu wa SHERIA?
 
Hizi ni nukuu za kumageuzi kwa Nchi ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…