Rais Samia ashiriki ufunguzi wa Jengo la Mionzi (Chemotherapy) Hospitali ya KCMC-Moshi Kilimanjaro

Rais Samia ashiriki ufunguzi wa Jengo la Mionzi (Chemotherapy) Hospitali ya KCMC-Moshi Kilimanjaro

Hadi kwenye uzinduzi wa house house ataenda Tu ilimradi ainekane anafanya kazi
 
Jengo la mionzi? Ina maana ukiingia na sumni inaonekana.. 😂
 
Hiyo miradi ni hadhi ya mkurugenzi au katibu tawala sio DC/RC let alone Rais.
 
Back
Top Bottom