Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 490
- 1,351
Kwamba unamaanisha kuhudhuria kwenye uzinduzi wa nyimbo za kampeni za ccm kulikuwa na umuhimu mkubwa kuliko kuhudhuria maazimisho ya May Mosi yanayohusu watumishi wa serikali yeye akiwa kama mtumishi nambari moja?Siyo kila Jambo kuangalia wengine wanafanya nini, pengine kupitia raisi wetu tukaanza kuona viongozi wengine wa nchi wakihudhuria kwenye mualiko ya namna hii ili kuwaunga mkono vijana wao.