Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Ndio maana mpaka leo Serikali toka Uhuru inahangaika kujenga shule, hospitality na Barabara na bado mambo hayaelewiki.
Time management hasa kwa watu wenye mamlaka kubwakubwa ingeweza kuleta changes kubwa sana positive ikitumika vizuri.
Masaa mawili kila chuo kikuu kingepeleka wawakilishi 10 Ikulu kufanya debate namna yakuboresha Elimu yetu na nini kifanyike kusaidia kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wetu mitaani.