Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Ndio wanakuongoza mzee inabidi uwe mpole maamuzi yako mengine na hasira yaelekeze 2025!
Ni kweli wananiongoza ila sio kwa ridhaa, hata huko Gabon wanaongozwa ila na mwanajeshi, hivyo issue sio kuongoza, ila ni jinsi gani umepata uongozi ndio heshima yako ilipo.
 
Nyie ndo mnaona Leo? Hilo ni goal, kubalini tu kuwa ni goal tusubiri baada ya miaka 6, Rais ana kwenda kusuluhisha wasanii, si ujinga tu huo wakati hawezi hata kutamka neno GDP.
Alinishangaza pale alisema anakwenda Kolea kwenye tamasha la utamaduni .Atakwenda na wasanii .Ila Jamani Rais kwenda kwenye tamasha la utamaduni kuna tija gani kwa Taifa zaidi ya kutumia pesa.Maana huo msafara anaoongozana nao wote gharama ni serikali na this time kasema atakwenda na wasanii pia.
 
Ni kweli wananiongoza ila sio kwa ridhaa, hata huko Gabon wanaongozwa ila na mwanajeshi, hivyo issue sio kuongoza, ila ni jinsi gani umepata uongozi ndio heshima yako ilipo.
Sawa ridhaa yako kaitumie vyema 2025 tuwang'oe CCM!
 
Mama anaweka mazingira mapemaa maana kampeni za mwakani zinasogea, atawahitaji sana wasanii so msichangae kumwona Harmo majukwaani akimnadi mama Kizimkazi.
 
Unasema maendeleo ni zero kwa vile siyo mfuatiliaji. Samia kapiga kazi sana kwenye sekta ya afya, elimu na ujenzi.
Na we unatetea nini?
Kapiga hatua gani zaidi ya kuendeleza vilivyoachwa??
Huu upopoma mtaacha lini waswahili!?
Ujinga anaofanya unaakisi maendeleo yanaotakikanika!?
Embu compare and contrast.
Pia jitahidi uwe na akili kidogo.
 
Yanga,simba, royal tour, matamasha,safari za nje! Hiyo ndio biashara anayoiweza.

May mosi hakuonekana uwanjani,Leo anatokea kwenye matamasha.
 
Upumbavu tu taifa hili, watu wajinga wanapewa siko na Rais na raia wote afu mambo ya maana yanapuuzwa na serkali ya kijinga hii.
 
Mimi naona ni kawaida maana hata wewe UNAWEZA ukawa RAISI na haikuondolei ""UTASHI AU KUA WEWE""

Haijawai kutokea tangu tumepata Uhuru kupata RAISI aka udhuria uzinduzi wa albamu ya msanii wa music

Kwa music industry Ni Jambo jema mama kuhudhuria Ni bonge la support
Acha majinga.....waziri tena naibu waziri wa michezo angetosha
 
Back
Top Bottom