Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

Halafu mnataka mpewe mikopo na misaada ya burebure kutoka kwa wajukuu wa Roosevelt, Truman etc au wajukuu wa Hitler au wajukuu wa Churchill, au wajukuu wa Stalin na Lenin au wajukuu wa wale Japs Kamikaze, NO FREE LUNCH.

Mizaha mizaha haijawahi kutatua matatizo ya generations, watu wako busy kutengeneza future za mpaka 5th generation.
Ukitoka hapo unakwenda kukopa au kuomba msaada wa kujengewa madarasa au mashimo ya vyoo.

Ukishakuwa Head of state tena wa nchi ambayo iko kwenye Hali hii ya watu masikini unakuwa umeshajitoa kutumikia generations sio kula burudani ,,( hizo na fikra na muda unatoa wapi?), akina Stalin wangekuwa na akili hizi Leo hii Russia ingekuwa koloni la Ujerumani.
 
Kwamba anakosa muda wa kwenda kuwavisha nishani askari au kuhudhuria sherehe za mei mosi; lkn ana muda wa kwenda kwenye uzinduzi wa albamu ya muziki, ni jambo linaacha maswali sana
 
Msimshangae ndio vitu anavyoviweza.

Hata huo urais ni mzigo kwake maana anasema ndoto yake ilikuwa awe mhudumu kwenye ndege.
Duuh mhudumu!! Yaani Air hostess au Stewardess mbona hatari. Kazi hii ina vigezo na vipimo. Mfano uzito alafu shepu huku kwetu siku hizi hatujali hizo sifa kwani nilipanda Bambadier kwenda Zanzibar kuna hostess mmoja alikuwa anapata taabu kutembea ndani ya ndege sababu ya unene. Zamani wafanyakazi wa hotel walikuwa wanachaguliwa kupitia vigezo vingi pamoja na utanashati, mvuto, luggage n.k. Sishangai
 
Back
Top Bottom