Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
ππππππTukutane taifaNow kondee amemaliza kaaga jukwaa ngoja niweke DISCONNECT
Goma Lina mdundo mzur japo nimezeeka Ila lipo powaaππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππTukutane taifaNow kondee amemaliza kaaga jukwaa ngoja niweke DISCONNECT
Goma Lina mdundo mzur japo nimezeeka Ila lipo powaaππ
Mxiuuu uzinzi tu unawaza kijana πππManeno yako yale yanafanya mtu upagawe ππππ
Sinema zetu.Msaada wanaonesha chennel gani kwani
Tena Nyerere aliwaalika mpk wavuta skanka na waxhonga puaHakuna rais ambaye hajahudhuria hizi social gatherings
Astakafillah mi kuwaza hayo mambo hapana kwa kweli.Mxiuuu uzinzi tu unawaza kijana πππ
πMitambo sijui mibovu harmo sauti inatoka km kakabwa na mwiba wa samaki π€£π€£π€£
Mkuu mbna ishaisha kitamboSinema zetu.
wewe uyo sasa ππAstakafillah mi kuwaza hayo mambo hapana kwa kweli.
Unanisingizia tu πππ
Najua ishaisha.Mkuu mbna ishaisha kitambo
Mi nipo mpole sina mambo mengi ila kwa wewe ntaanza kuwa hivo mana ni natural nashindwa sasawewe uyo sasa ππ
ππππππ TBC kuna nini mkuuNajua ishaisha.
Hapa nilikua navuta taswira Emmanuel Macron anaenda kwenye tamasha la ufunguzi wa Album ya GIMS.
jitoe tu ufaham πππMi nipo mpole sina mambo mengi ila kwa wewe ntaanza kuwa hivo mana ni natural nashindwa sasa
Aaagh TBC yangu ni France24/Aljazeera mkuu.ππππππ TBC kuna nini mkuu
π€£π€£π€£Msimshangae ndio vitu anavyoviweza.
Hata huo urais ni mzigo kwake maana anasema ndoto yake ilikuwa awe mhudumu kwenye ndege.
πππjitoe tu ufaham πππ
πππππ Mnachukia channel yenu ya taifaAaagh TBC yangu ni France24/Aljazeera mkuu.
TBC hii daktari alinambia ni hatari kwa afya yangu ya macho na akili.
yao yaoπππ
Koh koh koh yao yao
Mi najali sasa mwenzako
Heeee!Mkuu kuna kipi cha serikali unakipenda!?πππππ Mnachukia channel yenu ya taifa
Umeona eeeh mi na wewe kumbe wote wale wale sheeenziii kabisa...yao yao