Rais Samia asijaribu huu mpango mbaya wa kujiongezea muda wa kukaa Ikulu

Rais Samia asijaribu huu mpango mbaya wa kujiongezea muda wa kukaa Ikulu

Mdude_Nyagali

Member
Joined
Dec 11, 2022
Posts
79
Reaction score
1,444
Ajaribu aone Deep State wafanye kama walivyofanya kwa mwendazake. Mwendazake alitaka kulamba asali kwa kutumia kisu akaumia. Endapo asingekuwa na tamaa ya kubadili katiba ili aendelee kutawala pengine bado angekuwepo.

Mpango huo wa mwendazake kubadili katiba ili aendelee kutawala ulianza mwaka 2016. Deep State wakamtuma mzee Mkapa akamtulize kijana wake mwendazake aachane na huo mpango lakini baada ya kutulizwa bado aliendelea. Mwendazake alishaona pia mzee mkapa ni kikwazo katika mpango wake huo.

Mapema mwaka 2017 deep state walipata mpango kazi wa mwendazake kubadili katiba ili aendelee kutawala. Moja ya mikakati ilikuwa ni kufuta upinzani kwenye uchaguzi serikali za mitaa, madiwani na wabunge ili kusiwepo kikwazo chochote. Mpango huo ulikuwa kama ifuatavyo.

1. Uchaguzi 2019 upinzani ufutwe kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

2. Uchaguzi mkuu 2020 wafutwe wapinzani wote.

3. Polepole ateuliwe kuwa mbunge kwa ajili ya kuwasilisha hoja ya kuondoa ukomo wa miaka 10 kuongoza muda ukifika.

4. Ma-DC 80 walikuwa wanaandaliwa kuandaa wajasiliamali ambao ni mama lishe, bodaboda na wengine. Ilikuwa kila DC aandae watu wa aina hii wasiopungua 200 kwenye wilaya yake.

5. Kwamba 2022 wale watu 200 walioandaliwa na ma-DC wangeanza kuandamana kudai mwendazake aongezewe muda wa kutawala. Leo wakiamdamana kule Mbozi kesho Monduli. Movement ya maandamano inaenda miezi mitatu mfululizo wilaya tofauti.

6. Halafu 2023 Polepole anaibuka bungeni na hoja kwamba hata kama mwendazake hataki wananchi wanamtaka hivyo tunabili katiba. Kwa sababu bunge linakuwa la chama kimoja basi linabadili katiba bila kikwazo chochote . Halafu mwendazake anajifanya amekubali baada ya kulazimishwa na wananchi kama anavyofanyaga Kagame.

Sasa deep state wakawa wanasikilizia kama kweli mpango huo unafanyika. Wakajionea 2019 upinzani ukafutwa vijiji na mitaa, 2020 upinzani ukafutwa bungeni, Halmashauri na majiji yote. Hawajakaa sawa wanaona Polepole anateuliwa kuwa mbunge.

Hapo ndipo walipoamini kuwa mwendazake ni kweli anataka kubadili katiba na kuondoa ukomo ili aendelee kutawala. Ikawalazimu kuingia mzigoni kukwamisha mpango huu na wakafanikiwa.

Sasa naona kuna mpango mwingine tena wa kukanyaga katiba. Alianza Mjema, akaja Lukuvi na sasa huyu Kessy. Jaribuni tena huo mpango muone kitakachotokea.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

 
Don't buy cheap propagandas

Hakuna mtu anaweza kufanya jambo Kama hilo .

Pia tuwe tunaangalia na aina ya watu wanaotoa hizo hoja

Sifikirii Kama ni sahihi Kwa Chama Kama Chadema kumjibu kila mtu anayeleta hoja .

Huyo jamaa Kama angekuwa smart na mtu mwenye vision unafikiri Ccm wangeshindwa kumjali na kuhakikisha anarudi Bungeni .



We need to be serious , we don't need to argue anything

Kumjibu .........ni kujitukana.
 
Watu wenye mawazo ya aina hii serikali isijishughulishe nao, Watu wa Hovyo uwa hawaishi na wanazaliwa kilasiku.
Serikali ijikite katika kutatua kelo za Wananchi.
Serikali na tahasisi zake wasipoteze focus kwa wapuuzi.
 
Hiyo deep state Iko wapi mbona wapinzani wananyanyaswa sana inamana hii sio shida ?, kwamba kuongeza muda ni kosa ambapo ndio muhimu zaidi
 
Back
Top Bottom