Rais Samia asijaribu huu mpango mbaya wa kujiongezea muda wa kukaa Ikulu

Ajaribu aone Deep State wafanye kama walivyofanya kwa mwendazake. Mwendazake alitaka kulamba asali kwa kutumia kisu akaumia. Endapo asingekuwa na tamaa ya kubadili katiba ili aendelee kutawala pengine bado angekuwepo.

Mpango huo wa mwendazake kubadili katiba ili aendelee kutawala ulianza mwaka 2016. Deep State wakamtuma mzee Mkapa akamtulize kijana wake mwendazake aachane na huo mpango lakini baada ya kutulizwa bado aliendelea. Mwendazake alishaona pia mzee mkapa ni kikwazo katika mpango wake huo. Mapema mwaka 2017 deep state walipata mpango kazi wa mwendazake kubadili katiba ili aendelee kutawala. Moja ya mikakati ilikuwa ni kufuta upinzani kwenye uchaguzi serikali za mitaa, madiwani na wabunge ili kusiwepo kikwazo chochote. Mpango huo ulikuwa kama ifuatavyo.

1. Uchaguzi 2019 upinzani ufutwe kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

2. Uchaguzi mkuu 2020 wafutwe wapinzani wote.

3. Polepole ateuliwe kuwa mbunge kwa ajili ya kuwasilisha hoja ya kuondoa ukomo wa miaka 10 kuongoza muda ukifika.

4. Ma-DC 80 walikuwa wanaandaliwa kuandaa wajasiliamali ambao ni mama lishe, bodaboda na wengine. Ilikuwa kila DC aandae watu wa aina hii wasiopungua 200 kwenye wilaya yake.

5. Kwamba 2022 wale watu 200 walioandaliwa na ma-DC wangeanza kuandamana kudai mwendazake aongezewe muda wa kutawala. Leo wakiamdamana kule Mbozi kesho Monduli. Movement ya maandamano inaenda miezi mitatu mfululizo wilaya tofauti.

6. Halafu 2023 Polepole anaibuka bungeni na hoja kwamba hata kama mwendazake hataki wananchi wanamtaka hivyo tunabili katiba. Kwa sababu bunge linakuwa la chama kimoja basi linabadili katiba bila kikwazo chochote . Halafu mwendazake anajifanya amekubali baada ya kulazimishwa na wananchi kama anavyofanyaga Kagame.

Sasa deep state wakawa wanasikilizia kama kweli mpango huo unafanyika. Wakajionea 2019 upinzani ukafutwa vijiji na mitaa, 2020 upinzani ukafutwa bungeni, Halmashauri na majiji yote. Hawajakaa sawa wanaona Polepole anateuliwa kuwa mbunge. Hapo ndipo walipoamini kuwa mwendazake ni kweli anataka kubadili katiba na kuondoa ukomo ili aendelee kutawala. Ikawalazimu kuingia mzigoni kukwamisha mpango huu na wakafanikiwa.

Sasa naona kuna mpango mwingine tena wa kukanyaga katiba. Alianza Mjema, akaja Lukuvi na sasa huyu Kessy. Jaribuni tena huo mpango muone kitakachotokea.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

View: https://www.facebook.com/reel/546007941803844
 
Chanzo cha mawazo yako ya kufikirika ni kipi. Una ushahidi gani wa madai yako au ndio hivyo tena ukikosa cha kufanya unajitungia kitu chochote.
 
Watu wenye mawazo ya aina hii serikali isijishughulishe nao, Watu wa Hovyo uwa hawaishi na wanazaliwa kilasiku.
Serikali ijikite katika kutatua kelo za Wananchi.
Serikali na tahasisi zake wasipoteze focus kwa wapuuzi.
Kelo❌ kero✅

Tahasisi ❌ Taasis✅
 
Hao state kama wangekuwepo wasingekubali bandali iuzwe na mwendokas ife kizembe namna hii
 
Eti deep state.

Unafikiri tungekuwa na deep state inayojielewa CCM ingekuwa madarakani mpaka leo?
 
Mama Samia 10 yrs, Mzee Kessy kaongea vizuri tu
 
Naa
Ajaribu aone Deep State wafanye kama walivyofanya kwa mwendazake. Mwendazake alitaka kulamba asali kwa kutumia kisu akaumia. Endapo asingekuwa na tamaa ya kubadili katiba ili aendelee kutawala pengine bado angekuwepo.

Mpango huo wa mwendazake kubadili katiba ili aendelee kutawala ulianza mwaka 2016. Deep State wakamtuma mzee Mkapa akamtulize kijana wake mwendazake aachane na huo mpango lakini baada ya kutulizwa bado aliendelea. Mwendazake alishaona pia mzee mkapa ni kikwazo katika mpango wake huo.

Mapema mwaka 2017 deep state walipata mpango kazi wa mwendazake kubadili katiba ili aendelee kutawala. Moja ya mikakati ilikuwa ni kufuta upinzani kwenye uchaguzi serikali za mitaa, madiwani na wabunge ili kusiwepo kikwazo chochote. Mpango huo ulikuwa kama ifuatavyo.

1. Uchaguzi 2019 upinzani ufutwe kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

2. Uchaguzi mkuu 2020 wafutwe wapinzani wote.

3. Polepole ateuliwe kuwa mbunge kwa ajili ya kuwasilisha hoja ya kuondoa ukomo wa miaka 10 kuongoza muda ukifika.

4. Ma-DC 80 walikuwa wanaandaliwa kuandaa wajasiliamali ambao ni mama lishe, bodaboda na wengine. Ilikuwa kila DC aandae watu wa aina hii wasiopungua 200 kwenye wilaya yake.

5. Kwamba 2022 wale watu 200 walioandaliwa na ma-DC wangeanza kuandamana kudai mwendazake aongezewe muda wa kutawala. Leo wakiamdamana kule Mbozi kesho Monduli. Movement ya maandamano inaenda miezi mitatu mfululizo wilaya tofauti.

6. Halafu 2023 Polepole anaibuka bungeni na hoja kwamba hata kama mwendazake hataki wananchi wanamtaka hivyo tunabili katiba. Kwa sababu bunge linakuwa la chama kimoja basi linabadili katiba bila kikwazo chochote . Halafu mwendazake anajifanya amekubali baada ya kulazimishwa na wananchi kama anavyofanyaga Kagame.

Sasa deep state wakawa wanasikilizia kama kweli mpango huo unafanyika. Wakajionea 2019 upinzani ukafutwa vijiji na mitaa, 2020 upinzani ukafutwa bungeni, Halmashauri na majiji yote. Hawajakaa sawa wanaona Polepole anateuliwa kuwa mbunge.

Hapo ndipo walipoamini kuwa mwendazake ni kweli anataka kubadili katiba na kuondoa ukomo ili aendelee kutawala. Ikawalazimu kuingia mzigoni kukwamisha mpango huu na wakafanikiwa.

Sasa naona kuna mpango mwingine tena wa kukanyaga katiba. Alianza Mjema, akaja Lukuvi na sasa huyu Kessy. Jaribuni tena huo mpango muone kitakachotokea.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Ninaamini Hao Deep State Wana macho na kufikia wakati huo au kabla kidogo ya huo itaonekana kama anaestahili kwa kazi zake. Vitabu vya Dini mf. Wanachotumia wakristo kinasema," kazi za Kila Mmoja wetu zitapimwa mwisho wa wakati, kama ni za manyasi au za Kuni."

Lakini mpaka Hapa Nuru yake inang'ara kasoro suala la ajira kwa wasomi wetu walioteseka kufa na kupona kama siku hizi utaona vijana wa UDSM wanatembea kwa miguu Kila siku Toka chuoni mpaka mabibo hostels then huyo huyo miaka yote aliyosoma anakaa Mtaani mpk miaka kumi hiyo sio Haki hata vichaa ukiwauliza watakwambia.

Nina mzigo mkubwa na Hawa watoto wetu waliofanya uaminifu wakasoma wakamaliza.

So ukiacha Hilo sioni namna ambavyo Mhe. Rais Rais PhD. Samia haimudu taasisi hiyo nyeti. Mengine ya wajasiriamali, miundominu, Miradi, bei na mabadiliko ya kitech na huduma nyingine zinategemea wakati kuendeleza kuboreka. Na wakati ndio huo mpk 2030.
 
Back
Top Bottom