Rais Samia asijaribu huu mpango mbaya wa kujiongezea muda wa kukaa Ikulu

https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/546007941803844
 
Chanzo cha mawazo yako ya kufikirika ni kipi. Una ushahidi gani wa madai yako au ndio hivyo tena ukikosa cha kufanya unajitungia kitu chochote.
 
Watu wenye mawazo ya aina hii serikali isijishughulishe nao, Watu wa Hovyo uwa hawaishi na wanazaliwa kilasiku.
Serikali ijikite katika kutatua kelo za Wananchi.
Serikali na tahasisi zake wasipoteze focus kwa wapuuzi.
Kelo❌ keroβœ…

Tahasisi ❌ Taasisβœ…
 
Hao state kama wangekuwepo wasingekubali bandali iuzwe na mwendokas ife kizembe namna hii
 
Eti deep state.

Unafikiri tungekuwa na deep state inayojielewa CCM ingekuwa madarakani mpaka leo?
 
Mama Samia 10 yrs, Mzee Kessy kaongea vizuri tu
 
Bongo hamna deep state bhn hakuna kabisa icho kitu 🀣
Itakuwa deep state ya Magumashi
Alafu we mdude hii great thinker sio sehemu ya kupenyeza propaganda uchwara
 
Naa
Ninaamini Hao Deep State Wana macho na kufikia wakati huo au kabla kidogo ya huo itaonekana kama anaestahili kwa kazi zake. Vitabu vya Dini mf. Wanachotumia wakristo kinasema," kazi za Kila Mmoja wetu zitapimwa mwisho wa wakati, kama ni za manyasi au za Kuni."

Lakini mpaka Hapa Nuru yake inang'ara kasoro suala la ajira kwa wasomi wetu walioteseka kufa na kupona kama siku hizi utaona vijana wa UDSM wanatembea kwa miguu Kila siku Toka chuoni mpaka mabibo hostels then huyo huyo miaka yote aliyosoma anakaa Mtaani mpk miaka kumi hiyo sio Haki hata vichaa ukiwauliza watakwambia.

Nina mzigo mkubwa na Hawa watoto wetu waliofanya uaminifu wakasoma wakamaliza.

So ukiacha Hilo sioni namna ambavyo Mhe. Rais Rais PhD. Samia haimudu taasisi hiyo nyeti. Mengine ya wajasiriamali, miundominu, Miradi, bei na mabadiliko ya kitech na huduma nyingine zinategemea wakati kuendeleza kuboreka. Na wakati ndio huo mpk 2030.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…