Rais Samia asijaribu huu mpango mbaya wa kujiongezea muda wa kukaa Ikulu

Mbona kete wa samia kuwepo hadi 2028 au 30 ipo wazi tu, ni yeye kukubali kufanya mabadiriko ya katiba na sheria za uchaguzi kama wanavyodai wapinzani,maana hapo lazima uchaguzi uahirishwe kwa muda wa miaka mitatu kupisha mchakato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…