Rais Samia asilaumiwe, bali dogo ndiyo tatizo

Dogo afanyi haya bila protection or backup, backup ni nani?
Tatizo anaogopwa tu kwa kivuli, yaani ukimzingua PDF linasoma hata kama usiku wa manane. Kinachoonekana ukipewa amri toka kwa dogo watu wanaogopa PDF hata Kama SSH25 hahusiki kabisa na inaonekana matukio yote kabisa hata yeye SSH25 anayasikia kwenye vyombo kama mimi na wewe. Dkt Slaa atatoka na wala hatofunguliwa kesi kabisa ila taswira ya SSH25 inaharibika mno.
 
Ili mtu aweze kuelewa ulikiandika inampasa awe na D mbili

Otherwise, hawezi kuambulia chochote

Hata hivyo, Siasa ni Mipango na mbinu

Kuna watu wamekaa pembeni wanasukuma kete, mlengwa akija kushtuka ameliwa pakubwa
 
Kura za maoni CCM mwaka huu itakuwa kila MTU kambale 😂😂
Sijui itakuwaje maana dogo ndiyo beki, mshambuliaji, mtu wa kati na mfuga magori. Unakumbuka 2010 kwa BT? Familia ndiyo ilimbeba, so haya yanajirudia. Ila mi nasema tuna very weak institutions kwa sababu haiwezekani mtu mmoja ayumbishe woteeeee hahaha
 
Ili mtu aweze kuelewa ulikiandika inampasa awe na D mbili

Otherwise, hawezi kuambulia chochote

Hata hivyo, Siasa ni Mipango na mbinu

Kuna watu wamekaa pembeni wanasukuma kete, mlengwa akija kushtuka ameliwa pakubwa
Hahaha inatakiwa uwe mfuatiliaji. Sema naona 2025 inazidi kuwa ngumu sana kwa SSH25, shinda iliyopo vitu vingi haviratibiwi na mkono mrefu kiasi kwamba hata kibao kilivyopasuliwa kisa kila mkuna nazi alitaka kukitumia basi dogo na FAM25 basi wakaona isiwe tabu na yeye SSH25 alisikia taarifa kama sisi maana dogo na FAM25 waliona sasa hii aibu. Tumuombe Mungu tu SSH25 Mungu amfungue uelewa
 
Tatizo tangu Mwaka 2015 anaingia JPM, Kuna watu walijiandaa kuwa Wagombea 2025

Sasa ile ajali ndiyo ikafanya Mipango ya watu iharibike

Hata hivyo kabla ya kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu, huenda aliyepo asiwe mgombea tena

Maana Kuna watu wanasukuma kete zao Kwa ustadi Mkubwa nyuma ya Pazia
 
Tatizo anaogopwa tu kwa kivuli, yaani ukimzingua PDF linasoma hata kama usiku wa manane. Kinachoonekana ukipewa amri toka kwa dogo watu wanaogopa PDF hata Kama SSH25 hahusiki kabisa na inaonekana matukio yote kabisa hata yeye SSH25 anayasikia kwenye vyombo kama mimi na wewe. Dkt Slaa atatoka na wala hatofunguliwa kesi kabisa ila taswira ya SSH25 inaharibika mno.
Acha wajivuruge na wavurugane.....fujo za chadema wao zinawahusu nini?

Ndio yale yale ya ugaidi wa mbowe wa kubumba
 
Tatizo tangu Mwaka 2015 anaingia JPM, Kuna watu walijiandaa kuwa Wagombea 2025

Sasa ile ajali ndiyo ikafanya Mipango ya watu iharibike

Hata hivyo kabla ya kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu, huenda aliyepo asiwe mgombea tena

Maana Kuna watu wanasukuma kete zao Kwa ustadi Mkubwa nyuma ya Pazia
Ni kweli yaani kwa upepo ulivyo ni 10% yeye kupita maana hilo kundi lina mizizi iliyojichimbia. Ila kibaya kundi la dogo linampotosha sana. Mfano AK yule wa EA unakuta anatgawa njuruku balaa yaani unaweza kuta anagawa 1% ya zote zingine kwa ajili ya wajumbe hahaha. Sasa haya mashindano sijui yataishia wapi. Ila ningekuwa mi SSH yaani ningeachana nao nikarudi zangu kizimkazi. Ila kama anatumia technics kuleta utulivu halafu 2025 hii aje ghafla asema mimi siye 25 aisee litakuwa bonge la surprise
 
Basi ndio maana FAM25 anataka kugombea ashajua huko mbeleni mambo Mswano
 
Ni kweli yaani kwa upepo ulivyo ni 10% yeye kupita maana hilo kundi lina mizizi iliyojichimbia. Ila kibaya kundi la dogo linampotosha sana. Mfano AK yule wa EA unakuta anatgawa njuruku balaa yaani unaweza kuta anagawa 1% ya zote zingine kwa ajili ya wajumbe hahaha. Sasa haya mashindano sijui yataishia wapi. Ila ningekuwa mi SSH yaani ningeachana nao nikarudi zangu kizimkazi. Ila kama anatumia technics kuleta utulivu halafu 2025 hii aje ghafla asema mimi siye 25 aisee litakuwa bonge la surprise
Kutakakuwa na ushindani Mkubwa sana, labda atumie kofia ya Uenyekiti na Urais at per

Vinginevyo anaweza kujikuta yupo nje ya ulingo

Huwa siachi kujiuliza, mtu anauhakika wa kula hadi kufa kwake lakini bado ana ng'ang'ania kuendelea kugombea wakati hana uungwaji Mkono Kwa sababu zinginezo

Na bahati mbaya ameshatumia fedha nyingi kutafuta uungwaji mkono
 
Kura za maoni CCM mwaka huu itakuwa kila MTU kambale 😂😂
IMG-20250111-WA0015.jpg
 
Back
Top Bottom