Rais Samia asilaumiwe, bali dogo ndiyo tatizo

Rais Samia asilaumiwe, bali dogo ndiyo tatizo

Kutakakuwa na ushindani Mkubwa sana, labda atumie kofia ya Uenyekiti na Urais at per

Vinginevyo anaweza kujikuta yupo nje ya ulingo

Huwa siachi kujiuliza, mtu anauhakika wa kula hadi kufa kwake lakini bado ana ng'ang'ania kuendelea kugombea wakati hana uungwaji Mkono Kwa sababu zinginezo

Na bahati mbaya ameshatumia fedha nyingi kutafuta uungwaji mkono
Mi nadhani chawa ndiyo tatizo. Ila mwaka huu tutasikia mengi, vifo zaidi na kusalitiana zaidi ya FAM na TL
 
Mwaka huu Akina Membe Kimyaa
 
Mi nadhani chawa ndiyo tatizo. Ila mwaka huu tutasikia mengi, vifo zaidi na kusalitiana zaidi ya FAM na TL
Hao machawa ndiyo tatizo zaidi, Kuna mtabiri mmoja niliona utabiri wake Mwaka Jana

Kweli wasipokuwa makini watamalizana
 
Mwaka huu Akina Membe Kimyaa
Membe si alishafariki?

Useme Kuna watu wapo field saivi wakipigia mahesabu kiti

Hao kama wamechanga karata zao vizuri, watamwondoa Mama mapema kabisa kabla hata ya Uchaguzi Mkuu
 
Hahaha inatakiwa uwe mfuatiliaji. Sema naona 2025 inazidi kuwa ngumu sana kwa SSH25, shinda iliyopo vitu vingi haviratibiwi na mkono mrefu kiasi kwamba hata kibao kilivyopasuliwa kisa kila mkuna nazi alitaka kukitumia basi dogo na FAM25 basi wakaona isiwe tabu na yeye SSH25 alisikia taarifa kama sisi maana dogo na FAM25 waliona sasa hii aibu. Tumuombe Mungu tu SSH25 Mungu amfungue uelewa
Vipande vya Kibao vikatupwa Ununio,
 
Ni kweli yaani kwa upepo ulivyo ni 10% yeye kupita maana hilo kundi lina mizizi iliyojichimbia. Ila kibaya kundi la dogo linampotosha sana. Mfano AK yule wa EA unakuta anatgawa njuruku balaa yaani unaweza kuta anagawa 1% ya zote zingine kwa ajili ya wajumbe hahaha. Sasa haya mashindano sijui yataishia wapi. Ila ningekuwa mi SSH yaani ningeachana nao nikarudi zangu kizimkazi. Ila kama anatumia technics kuleta utulivu halafu 2025 hii aje ghafla asema mimi siye 25 aisee litakuwa bonge la surprise
Hii
 
Attachments

  • 5744975-8bcb85f1807b40dfe9b1bdf5a6eabbb0.jpg
    5744975-8bcb85f1807b40dfe9b1bdf5a6eabbb0.jpg
    8 KB · Views: 2
Uraisi ni wa ccm na vita ya kuugombania iko ndani ya ccm. Chadema na vyama vingine ni vigumu kupata uraisi. Acha waminyane tu si yetu macho.
 
Back
Top Bottom