Rais Samia asilaumiwe, bali dogo ndiyo tatizo

Mi nadhani chawa ndiyo tatizo. Ila mwaka huu tutasikia mengi, vifo zaidi na kusalitiana zaidi ya FAM na TL
 
Mwaka huu Akina Membe Kimyaa
 
Mi nadhani chawa ndiyo tatizo. Ila mwaka huu tutasikia mengi, vifo zaidi na kusalitiana zaidi ya FAM na TL
Hao machawa ndiyo tatizo zaidi, Kuna mtabiri mmoja niliona utabiri wake Mwaka Jana

Kweli wasipokuwa makini watamalizana
 
Mwaka huu Akina Membe Kimyaa
Membe si alishafariki?

Useme Kuna watu wapo field saivi wakipigia mahesabu kiti

Hao kama wamechanga karata zao vizuri, watamwondoa Mama mapema kabisa kabla hata ya Uchaguzi Mkuu
 
Vipande vya Kibao vikatupwa Ununio,
 
Hii
 

Attachments

  • 5744975-8bcb85f1807b40dfe9b1bdf5a6eabbb0.jpg
    8 KB · Views: 2
Uraisi ni wa ccm na vita ya kuugombania iko ndani ya ccm. Chadema na vyama vingine ni vigumu kupata uraisi. Acha waminyane tu si yetu macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…