Polisi hawaruhusiwi kisheria kuwapiga, kuwatesa au kuwapa vibano watuhumiwa.
Hakuna asiyejua kuwa polisi kinyume cha sheria na pasipokuwa na uhalali wowote huwawapiga, huwatesa, na hata huwauwa watuhumiwa. Hii ikiwamo kufanya hivyo kwa jeuri, dhuluma, na hata kwa makusudi tu.
Inafahamika kuwa habari nyingi za watuhumiwa kuuwawa eti kwa sababu waliokuwa wakipambana au kutaka kuwatoroka polisi, mara nyingi ni za uongo.
Inasikitisha na kufikirisha zaidi rais badala ya kuvikemea vitendo hivi na kuwawajibisha anawalilia hali. Tena akiwataka kupunguza vipigo wala si kukoma.
Tungali tuna safari ndefu.