Polisi hawaruhusiwi kisheria kuwapiga, kuwatesa au kuwapa vibano watuhumiwa.
Your browser is not able to play this audio.
Hakuna asiyejua kuwa polisi kinyume cha sheria na pasipokuwa na uhalali wowote huwawapiga, huwatesa, na hata huwauwa watuhumiwa. Hii ikiwamo kufanya hivyo kwa jeuri, dhuluma, na hata kwa makusudi tu.
Inafahamika kuwa habari nyingi za watuhumiwa kuuwawa eti kwa sababu waliokuwa wakipambana au kutaka kuwatoroka polisi, mara nyingi ni za uongo.
Inasikitisha na kufikirisha zaidi rais badala ya kuvikemea vitendo hivi na kuwawajibisha anawalilia hali. Tena akiwataka kupunguza vipigo wala si kukoma.
Anachoongea sio anachomaanisha. Hayo maneno alishauasema kipindi kile , lakini si uliona wanachadema wanakamatwa hadi makanisani kwa kesi za kubumba tu.
Huyu bibi ni Kama......

Nianze kwa kumpongeza Mh Rais wetu mpendwa samia Suluhu Hassan kwa upongozi dhabiti tangu kaingia madarani kama Raisi wetu.
1. Kuna issue ya kuwapa watu kesi kwa visa na hila hapa awe mkali sana MAANA KESHA KUWA KAMA ANAMBAMBELEZA IGP/DPP/CJ NK walio mahabusu na kaesi zina miaka mitatu/4/5/6/7/8nk aagize watoke na ushahidi ukikamilika wapelekwe mahakamani.
2.Polisi Mh Rais kweli ni aibu sana wanakula rushwa sana tena wazi wazi huwezi peleka issue yoyote bila kuombwa rushwa yaani kumeoza mnoo mnoooo ....
Hakuna asiyejua kuwa polisi kinyume cha sheria na pasipokuwa na uhalali wowote huwawapiga, huwatesa, na hata huwauwa watuhumiwa. Hii ikiwamo kufanya hivyo kwa jeuri, dhuluma, na hata kwa makusudi tu.
Inafahamika kuwa habari nyingi za watuhumiwa kuuwawa eti kwa sababu waliokuwa wakipambana au kutaka kuwatoroka polisi, mara nyingi ni za uongo.
Inasikitisha na kufikirisha zaidi rais badala ya kuvikemea vitendo hivi na kuwawajibisha anawalilia hali. Tena akiwataka kupunguza vipigo wala si kukoma.
Hakuna asiyejua kuwa polisi kinyume cha sheria na pasipokuwa na uhalali wowote huwawapiga, huwatesa, na hata huwauwa watuhumiwa. Hii ikiwamo kufanya hivyo kwa jeuri, dhuluma, na hata kwa makusudi tu.
Inafahamika kuwa habari nyingi za watuhumiwa kuuwawa eti kwa sababu waliokuwa wakipambana au kutaka kuwatoroka polisi, mara nyingi ni za uongo.
Inasikitisha na kufikirisha zaidi rais badala ya kuvikemea vitendo hivi na kuwawajibisha anawalilia hali. Tena akiwataka kupunguza vipigo wala si kukoma.
Hawezi kuwachukulia hatua yoyote hao polisi, maana wao ndio nguzo yao ya kubaki madarakani. Polisi wanajua kwa uhakika kuwa serikali hii haiko madarakani kwa kura halali, bali kwa wizi wa kura chini ya uratibu wa vyombo vya dola.
Mmamaaaa mama uyoooo mama mamauyo mama mamauyo maama , mamayetu eeh, ngoja siku wamvue shungi ndio atakuja kukjua mwana wa mwenzio mkubwa mwezie , time will tell
Nianze kwa kumpongeza Mh Rais wetu mpendwa samia Suluhu Hassan kwa upongozi dhabiti tangu kaingia madarani kama Raisi wetu.
1. Kuna issue ya kuwapa watu kesi kwa visa na hila hapa awe mkali sana MAANA KESHA KUWA KAMA ANAMBAMBELEZA IGP/DPP/CJ NK walio mahabusu na kaesi zina miaka mitatu/4/5/6/7/8nk aagize watoke na ushahidi ukikamilika wapelekwe mahakamani.
2.Polisi Mh Rais kweli ni aibu sana wanakula rushwa sana tena wazi wazi huwezi peleka issue yoyote bila kuombwa rushwa yaani kumeoza mnoo mnoooo ....
Nami nakazia kidogo hapo;
Jiulize namna polisi wanavyowapiga wanachama wa Chadema wanaenda mahakamani kusikiliza kesi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe, unaweza kuamini kuwa hapa sasa sio Tanzania, ukiingia mahakamani ukiwa na fulana iliyoandikwa Katiba Mpya, hakika watakugombea kama mpira wa kona. Hali hii inaendelea kuzoeleka na huko mbele wananchi walio wengi watapata kipigo si kutokana na kukiuka sheria, bali kwa matakwa ya askari Polisi.
Tunajisifu kuwa Nchi inayozingatia Utawala bora, ni vema kuhakikisha misingi ya utawala bora hasa utawala wa sheria unazingatia kuanzia kwa vyombo vya dola, viongozi wa kiserikali na wananchi kwa ujumla.