Rais Samia asonga mbele na uwekezaji, sasa anayafuta mashirika yote yanayoendeshwa kihasara

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Mama Samia anaupiga mwingi kweli kweli, bila kufoka bila makeke anafanya kazi kuliko tunavyofikiria.

Kila akiibuka anaibuka na mambo ambayo yanasongesha mbele gurudumu la maendeleo.

Jioneeni wenyewe:

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
<iframe width="560" height="315" src="" title="YouTube video player" frameborder="0" allow="accelerometer; autoplay; clipboard-write; encrypted-media; gyroscope; picture-in-picture; web-share" allowfullscreen></iframe>

Mama uzi huohuo, mashirika hayo mengi yanawasaidia wezi na wabadhirifu. Kama shirika la umma haliiletei nchi faida futa, au binfsisha, wape watu au mashirika yenye uwezo wa kuyaendesha.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Mama Samia anaupiga mwingi kweli kweli, bila kufoka bila makeke anafanya kazi kuliko tunavyofikiria.

Kila akiibuka anaibuka na mambo ambayo yanasongesha mbele gurudumu la maendeleo.

Jioneeni wenyewe:

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Hayapo kwenye ripoti ya CAG?
 
Wapeleke DSE wapunguze hisa za Serikali...wafate crdb na NMB models zinazowapa gawio za mabilioni kila mwaka
DSE kuwezi kuyakuta nenda kwenye Government bonds huko au kwa mufilisi wa Serikali
 
Taasisi za umma zinalenga kutoa huduma na siyo kufanya biashara, sijui kama unalijua hili bibi.
 
Mama Samia anaupiga mwingi kweli kweli, bila kufoka bila makeke anafanya kazi kuliko tunavyofikiria.

Kila akiibuka anaibuka na mambo ambayo yanasongesha mbele gurudumu la maendeleo.

Jioneeni wenyewe:

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Mama kashindwa kulea Watoto wake mwenyewe,Sasa anaamua kuwagawa kwa Watu wengine wamlelee!! Alafu Mama anasubiri Watoto wakiwa wakubwa waje wamsaidie! Haya malezi sijui ni ya aina gani sijapata owna!!
 
Angejifuta na yeye urais.maana anaiendesha kihasara.toka aingie deni la taifa limeongezeka na kuingia mikataba ya hovyo na dp word.hasara tupu kila sehemu ya nchi
 
Mama Samia anaupiga mwingi kweli kweli, bila kufoka bila makeke anafanya kazi kuliko tunavyofikiria.

Kila akiibuka anaibuka na mambo ambayo yanasongesha mbele gurudumu la maendeleo.

Jioneeni wenyewe:

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Acha asonge mbele ili wapenda ukabila na udini wajinyonge.
 
Mama anaupiga mwingi chenga hadi mashabiki twala!
 
Back
Top Bottom