Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Rais Samia atajifichia wapi sura yake wakati huu dunia ikimnyooshea vidole kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu kwenye utawala wake wakuelekea uchaguzi mkuu halafu baadae asimame aseme na yeye eti ni rais wa Tanzania aliyechaguliwa kidemokrasia ?
Sasa kama watanzania hawakutaki na dunia inakunyooshea vidole wewe na serikali yako kwa kukiuka haki za binadamu unataka urais wa nini una faida gani kuwa Rais huku dunia ikikushtumu kwa kukiuka haki za binadamu na watanzania hawakutaki una ng'ang'ania nini ?
Huyu ni Rais wa kwanza kumshuhudia akinyooshewa vidole na dunia pamoja na shtuma kibao za uvunjifu wa haki za binadamu sijawai kuona Rais mwingine aliye fika level hii katika historia ya Tanzania ?
#NO REFORMS #NO ELECTION