Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Nchi kwanza ...Hakuna Mwanaccm Mcha Mungu wala mwenye aibu
Nchi kwanza ...Yani watu wanatekwa,wanapotea wengine wanakutwa wameuawa! Sio sawa kabisa. Mungu hapendi haya.
Si sawa kabisa
tomorrow inawezakuwa too late.....Natamani kuandika mengi lakini nitarudi
Nakusanya hadidu za rejea Mkuutomorrow inawezakuwa too late.....
Sasa mbona huwa wanaenda kwenye nyumba za ibada kuwasihi viongozi wa dini walioombee taifa liwe na amani?Hakuna Mwanaccm Mcha Mungu wala mwenye aibu
before it was cdm vs ccmView attachment 3332862ha;o sio nzuri kabisa , tuombeane, naona Polisi wanakazana kupima nguvu ya CHADEMA
kuna vdio moja nimeiona leo mwenye bunge lake yupo madhabauni anasema wao wanaoshiriki uchaguzi hawapi tyr kwenda mbinbuni kwa wkati huuπ€£π€£Sasa mbona huwa wanaenda kwenye nyumba za ibada kuwasihi viongozi wa dini walioombee taifa liwe na amani?
Bado mtanyooka Hadi waliowatuma wasalimu amri.Rais Samia atajifichia wapi sura yake wakati huu dunia ikimnyooshea vidole kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu kwenye utawala wake wakuelekea uchaguzi mkuu halafu baadae asimame aseme na yeye eti ni rais wa Tanzania aliyechaguliwa kidemokrasia ?
Sasa kama watanzania hawakutaki na dunia inakunyooshea vidole wewe na serikali yako kwa kukiuka haki za binadamu unataka urais wa nini una faida gani kuwa Rais huku dunia ikikushtumu kwa kukiuka haki za binadamu na watanzania hawakutaki una ng'ang'ania nini ?
Huyu ni Rais wa kwanza kumshuhudia akinyooshewa vidole na dunia pamoja na shtuma kibao za uvunjifu wa haki za binadamu sijawai kuona Rais mwingine aliye fika level hii katika historia ya Tanzania ?
#NO REFORMS #NO ELECTION
View attachment 3332856View attachment 3332857
kwakua Wazee wa Taifa wameongea na bado hawa MBWA hawataki kusikiliza, basi wacha tuone vile mchezo utakwenda, wacha tuonebefore it was cdm vs ccm
now cdm vs polisi
duh
mh noma yetu macho tu π₯²π₯²kwakua Wazee wa Taifa wameongea na bado hawa MBWA hawataki kusikiliza, basi wacha tuone vile mchezo utakwenda, wacha tuone
maskini wewe nimekuzidi kila kitu kwa vile huna akili ndio unazani wote ni level yako wanao kupigania haki zako unawaona hawana maana yoyote inasikitisha sanaBado mtanyooka Hadi waliowatuma wasalimu amri.
Siku zote punda ndio hutangulizwa ππ
SI kweli,Hakuna Mwanaccm Mcha Mungu wala mwenye aibu