ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Wewe nyumbu familia Yako imekushinda utampigania nani zaidi ya njaa za tumbo na akili Yako?maskini wewe nimekuzidi kila kitu kwa vile huna akili ndio unazani wote ni level yako wanao kupigania haki zako unawaona hawana maana yoyote inasikitisha sana
.
sasa mimi na wewe nani punda jiulize alafu ujijibu, lakini kwa akili hizi ulizo nazo upo sahihi kuniita mimi punda sio kosa lako na haibadilishi kuwa mimi ni nani.
Unadhani Warioba ni Mwanaccm?SI kweli,
Wapo wengi, Mzee Warioba akiwemo.
Vp ameshasaini MOU ya CDM?Unadhani Warioba ni Mwanaccm?
JiongezeVp ameshasaini MOU ya CDM?
labda duni ya malofa na sio ya wastaarabu
Samia ajifiche Kwa lipi hasa?
Tena uraisi wa kupora uchaguzi.unataka urais wa nini una faida gani kuwa Rais huku dunia ikikushtumu kwa kukiuka haki za binadamu na watanzania hawakutaki una ng'ang'ania nini ?