Kabla ya yeye kumtafuta Kawawa wake je na yeye alikuwa kawawa kwa aliyekuwa Nyerere wake? Coz kitendo cha kuwa royal kwa mtu ,kubeba mizigo yake ,kubeba lawama zake ni lazima uamini juu ya mawazo yake,maamuzi yake,matendo yake kinyume na hapo ww utakuwa hapo kwa ajili ya ajira na mshahara tu.