Kawawa alikua na Elimu gani? Na Nyerere je? Ukijibu swali hili utaelewa unyenyekevu ulitokea wapi?
Kawawa alikua na Elimu gani? Na Nyerere je? Ukijibu swali hili utaelewa unyenyekevu ulitokea wapi?
Nyerere kwenye kitabu cha Tanzania na hatima ya uongozi aliandika kuwa, watu kama Kawawa hawazaliwi mara nyingi duniani. Ni ukweli mtupu. Sijui alichukuliaje mambo ila alikuwa muaminifu mno kwa rafiki yake Nyerere. Na ni kweli, ulikuwa ukimgusa Kawawa, lazima Nyerere akutolee macho
RIP Rashid Mfaume Kawawa.
Hii kauli yako naona ipo kimajungu zaidi kuliko uhalisia.Hii vita ya kujaribu kumuondoa Majaliwa ili kuilegeza serikali itafanikiwa tu kwa kuwa SSH ni dhaifu, wameshamjaribu kwa vingi vya kijinga amekubali hata hili itafika muda atakubali tu kwa kuwa ni Rais dhaifu, yoyote akikuambia ujinga na ukakubali ujinga wake anakudharua na kukuona hamnazo, ndio hali tuliyo nayo saivi.
Nyerere alisema wakati anampumzisha Kawawa .. Uwaziri mkuu..
Alimuita Kawawa kujadili nani achukue nafasi ya Kawawa... imagine that
Hii kauli yako naona ipo kimajungu zaidi kuliko uhalisia.
Majaliwa anakubalika sana bungeni ni mtu anayejituma na Rais anaujua mchango wake kikazi.Pengine ins ukweli. Haya mambo ya maisha mtihani sana
Soviet chini ya Michael gorb au yugoslavia imara iliyoachwa na general tito zilisambaratishwa na hizo nchi za magharibi sahihi kabisa alichoandika kama alivyosema bush mdogo aidha uwe na sisi au magaidi siasa za mashariki na magharibi zilikinzana ile hali ya kusema sisi hatuna mlengo wowote ilikuwa ni maneno tu ilikuwa lazima uchague mlengo.Mkuu ukisikia mabeberu tunao-assume kwamba wapo sasa hivi kipindi kile ndio kulikuwa na mabeberu wa hali ya juu (wewe ukijifanya ku-side na Russia au itikadi zako zikienda ndivyo sivyo you are history) CIA imefanya mengi mkuu..., Fuatilia tu kina Thomas Sankara na Patrice Lumumba ni nini kiliwakuta...
Acha kaka wale Mabeberu ambao kina Polepole na Boss wake wanaowatunga kipindi kile walikuwepo (and they meant business)
Kawawa aliishia form six Tabora school,Nyerere alifika Hadi Edinburgh University.Kawawa alikua na Elimu gani? Na Nyerere je? Ukijibu swali hili utaelewa unyenyekevu ulitokea wapi?
Wewe ndio hujui historia hii.Mara nyingi Historia yote ya Nyerere inaweza somwa na usisikie hata jina la Kawawa. Watu wengi hawajui kuwa wakati Kawawa anakuwa 'Waziri Mkuu wa Tanganyika' alikuwa Kiongozi mkubwa kuliko wote Tanganyika kabla haijawa Jamhuri...