Rais Samia atangaza siku 5 za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth aliyekuwa Mkuu wa Nchi ya Tanganyika

Watueleze lini tunaondoka kwenye utawala wa Kifalme.

Waingereza wametangaza siku za maombolezo.

Tunajipendekeza sana na mabakuli matupu.
 
Tanzania ni mwanachama wa Jumuiya ya Madola ambayo inaziunganisha nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza na nchi zilizokuwa makoloni yake.

Ni jambo la hekima kidiplomasia kuonyesha kama nchi mwanachama kuwa umeguswa na msiba huo wa kiongozi huyo mkuu wa Uingereza. Tanzania inapokea misaada mingi ya kifedha kutoka kwa nchi hii.

Kwa hiyo ni vyema kuwadhihirishia kuwa tupo pamoja nao katika kipindi wanapoomboleza kifo cha kiongozi mkuu wa taifa lao. Natambua si Tanzania tu ambayo itashusha bendera zake nusu mlingoti, bali mataifa yaliyo mengi ikiwemo nchi zote zilizo wanachama wa Jumuiya ya Madola.
Tuombe tuondoke kwenye Jumuiya dhalimu.
 
Umenena vyema sana naona vijana wako na mihemko kweli kweli
 
Rais Samia atangaza siku tano za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II kilichotokea tarehe 8 Septemba, 2022.

Maombolezo hayo yataanza tarehe 10 Septemba hadi tarehe 14 Septemba.

Katika kipindi hicho bendera za Tanzania zitapepea nusu mlingoti, ikiwa ni pamoja na kwenye balozi zetu.

Taarifa kamili[emoji116
Sikatai kuwasaidia kulia Waingereza. Basi maomboleO yangekuwa hata siku moja tena siku ya maziko lakini kusema siku 5 inaleta picha tunajikomba

Kuna jambo halipo sawa
 
Tanzania ni mwanachama wa Jumuiya ya Madola ambayo inaziunganisha nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza na nchi zilizokuwa makoloni yake.

Ni jambo la hekima kidiplomasia kuonyesha kama nchi mwanachama kuwa umeguswa na msiba huo wa kiongozi huyo mkuu wa Uingereza. Tanzania inapokea misaada mingi ya kifedha kutoka kwa nchi hii.

Kwa hiyo ni vyema kuwadhihirishia kuwa tupo pamoja nao katika kipindi wanapoomboleza kifo cha kiongozi mkuu wa taifa lao. Natambua si Tanzania tu ambayo itashusha bendera zake nusu mlingoti, bali mataifa yaliyo mengi ikiwemo nchi zote zilizo wanachama wa Jumuiya ya Madola.
100%
 
Back
Top Bottom