Rais Samia Ataongoza Taifa Hili Katika Hali ya Amani Na Utulivu Kuliko Wakati Mwingine wowote ule Tangia Kupata Uhuru wake

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ataongoza Taifa hili katika hali ya utulivu na amani kuliko wakati mwingine wowote ule katika historia ya Taifa letu.

Taifa litaendelea kutamalaki kwa amani ,utulivu na usalama wa kutosha utakaowawezesha watanzania kufanya shughuli zao kwa amani na utulivu bila Bughdha wala kitisho cha aina yoyote ile cha kiusalama.

Taifa litaendelea kuwa na umoja na mshikamano bila migawanyiko wala mpasuko wa aina yoyote ile. Hii ni kutokana na usikivu na unyenyekevu wa Rais Samia katika kuongoza watanzania. Amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuzifanyia kazi pasipo kupuuza sauti ya mtanzania mmoja mmoja ama kikundi . Kila sauti imekuwa na nafasi masikioni Mwa Rais wetu.

Hata kelele zimepata nafasi ya kusikilizwa masikioni mwake Rais wetu . Ndio Maana watanzania wamekuwa na imani kubwa sana na Rais wetu na kumpatia ushirikiano wa kutosha pamoja na kumuunga mkono katika hatua mbalimbali ambazo amekuwa akizichukua katika ujenzi wa Taifa letu.

Rais Wetu amekuwa bega kwa bega na watanzania katika shida na raha. Amelia na watanzania wakati wa shida na amefurahi na watanzania wakati wa raha. Katika mapito magumu kama Taifa tumeona Rais wetu akisimama pamoja nasi watanzania.ametufariji tulipokuwa na huzuni na Ametushika mkono na kutuinua tulipokuwa na majonzi. Amekuwa Mfariji wa kweli wa Taifa hili.

Amekuwa Mama mwema na Mlezi wa Kweli Wa Taifa hili. Kwake watanzania wote ni wake na wote wana haki sawa .waliomchagua na ambao hawakumchagua wana nafasi sawa machoni pake. Ndio Maana anapeleka maendeleo kila sehemu na kila eneo pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile. Anachoangalia ni uwepo wa watanzania eneo fulani na mahitaji yao .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251218-210002_1.jpg
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3588772
Maada zako nyengine huwa zinachekesha sana, pengine hata mwenyewe huamini hata unachikiandika
 
Ni kweli kabisa usemavyo comrade,

umadhubuti wake katika nafasi ya urais anayoishikilia mpaka sasa, unatupa waTanzania wote uhakika wa amani na utulivu zaidi, kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya taifa letu, tangu tupate uhuru.

God bless Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
 
Umetoka kukatwa na nchengerwa ndio ukaja kuandika sio
 
Screenshot_20260212-145525~2.png
 
Wewe sio bure utakua ka gonjwa wewe ka gonjwa ka akili au una hanta virus hivi nyie machoko ya CCM mmelelewaje nyie hamna hata huruma
 
Ni kweli kabisa usemavyo comrade,

umadhubuti wake katika nafasi ya urais anayoishikilia mpaka sasa, unatupa waTanzania wote uhakika wa amani na utulivu zaidi, kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya taifa letu, tangu tupate uhuru.

God bless Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
Screenshot_20260514-220943~2.png
Screenshot_20260514-220943~2.png
 
Back
Top Bottom