Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Kweli.
 
Samia ni Magufuli.

Samia aliteuliwa na Magufuli kama alivyoteuliwa Sabaya, Hapi, Majaliwa,Mpango etc

Acha wanafunzi wa Magufuli waumane
Magufuli hakuwa na uwezo wakati ule kuchagua Makamu wake wa Rais, Yeye alitaka Mwinyi awe Makamu wake, Wazee wakakataa

Huyo Mwendazake baada ya kupata urais ndio akajiona Yeye ndie aliyepigania uhuru wa nchi hii

Yeye akajiona ndie alianzisha Takukuru, TRA na Tanroads wakati amezikuta

Huyo Jamaa yako alipenda kupiga kelele na makamera sana

Aliona Urais ni kila kitu na amemaliza maisha, na wenzake wakamuambia utaishi milele, wakihubiri mitano tena na tena
 
Chalamila alipewa madaraka makubwa Sana kuliko uwezo wake.Ilitakiwa aanzie chini kwenye udiwani ndipo apande kidogo kidogo
 
Yes hiyo kauli ya kuua vibaka alishawahi kuitoa Mbeya akasema kwamba baada ya kumuua alikunywa beers mbili kujipongeza, akairudia tena Mwanza na jana kasema hiyo ya wananchi ni ruhusa wabebe mabango yenye matusi wakati wa kumpokea Samia
More likely hii ndiyo sababu. Una hoja. Siyo wengine wanaongea utopolo, mara bajeti mara udini. Jinga kabisa!
 
Hapi atoiweza Mara katupwa kule akajifukuze mwenyewe.
Hawa hawakuwa na cv ya kumudu kuongoza watu walipenyea kwenye kumsifia magu
 
Kwahiyo jamaa chakula cha usiku alikula akiwa mkuu wa mkoa, anaamka kama raia wa kawaida
Alikula chakula cha usiku akiwa mkuu wa mkoa
atakunywa chai asubuhi akiwa raia wa kawaida..
mwenye kadi ya CCM
 
Alikuwa ni mfano hai wa ule msemo wa kiswahili, 'maskini akipata, matako hulia mbwata'. Ghafla mzee baba alijikuta yeye ndio katimua wakoloni TZ.
 
Inawezekana hiyo pia imechangia maana kuwaruhusu wananchi kuandika matusi mh hapo kwa kiongozi NI shida, Asante
 
Wanaaga saa ngapi?.....Ally hapi bila shaka anajiandaa na yeye
 
Yani Umelala ukiwa muheshimiwa mkuu wa mkoa, unaamka ukiwa Albert Chalamila.
Duh! Kazi ipo.
 
Mama alisema ataki mabango,akiyakuta,ata wafyeka viongozi.chala anaamka na hangover anawambia waje na mabango hajaishia apo,anakuambia ata kama ya matusi
Huyu jamaa chizi, hivi mwendazake hawa watu alikuwa anawatoa wapi!!? Na si ajabu angekuwepo bado angemvumilia kukaa naye meza moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…