Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Alikuwa anajibu mapigo.. Hakujua kashika kwenye makali na wembe haulambwiView attachment 1814936
Kumbe waliwekwa kwenye rada tayari! Hapo alikuwa anasubiriwa atakayeanza kujichanganya tu. Mama anamahesabu ya mbali sana, yaani anakutimua mwenyewe unaona kabisa hapa nimezingua. Tena unatumbuliwa usiku wa manane bado upo ndotoni. Saluti sana mama
 
Alikuwa ni mfano hai wa ule msemo wa kiswahili, 'maskini akipata, matako hulia mbwata'. Ghafla mzee baba alijikuta yeye ndio katimua wakoloni TZ.
Kawaachia mateso makubwa CHAWA wake wavaa bendera, sasa wameanza kuvaa barakoa, hakuna tena kupiga nyungu, Wanajipendekeza kulia kushoto kama mbwa koko.
 
Safiiii kabisaaa, watu wenye sifa sifa piga chini woteee, na bado
 
Back
Top Bottom