Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Siasa za pale Bandarini ngumu sana
Mh pale bandari sijui nani ata paweza labda wakabidhiwe Jeshi JWTZ
Na mdogo wake pia alikuwa Chief Procurement Officer Temeke Municipal.Hivi kipande wa Jakaya yuko wapi
Walikabidhiwa uendeshaji kipindi cha Jiwe kuanzia operations mpaka usalama wa Bandari wakasanda.Mh pale bandari sijui nani ata paweza labda wakabidhiwe Jeshi JWTZ
Yeye kapona?Na mdogo wake pia alikuwa Chief Procurement Officer Temeke Municipal.
Kwa nini watu hawaoni hili?Matatizo hayako bandarini peke yake.
Matatizo yapo kila mahala, hata kwa wateuzi wenyewe.
Sasa jiulize, hapa katoa usuluhishi gani juu ya tatizo lililopo bandarini.
Huyu bwana mdogo aliyeteuliwa naye siku chache zijazo utasikia kishashindwa kazi.
Mbaya zaidi ni kutochukua muda kufahamu tatizo la sehemu hiyo hasa ni lipi, linalofanya pawe na 'turnover' kubwa kiasi hiki?
sidhani hata kama hii historia uliyoiweka hapa kuna watu kizazi hiki wanaifahamu, mimi nikiwa mmojawapo
Ndio ukweli wenyewe. Sidhani kama raia wa Tanzania ni nchi hii. Itakuwa pengine ni wakimbizi kutoka kwingineko. Maana! Rwanda, maybe?Mi nahisi hivyo. Mabandari, madini, mahifadhi hayajawahi kuwa na faida kwa Raia wa tanzania.
Hata ulete malaika hizo Bandari ni kichaka Cha wakubwa kupitisha Dili zao na CCM ni Mojawapo kama wangekuwa hawataki hiyo michezo hakuna anayeweza kushindwa kuingiza na kuendesha bandariBinafsisha hizi BANDARI, naona zinatupa shida kubwa kuziendesha au recruits freshers kutoka University, peleka wachache pale Durban, Capetown, Rotterdam, Botswana (dry port)wakajifunze kwa 24mth kuhusu uendeshaji wa hizi bandari, na ajira mpya zifanyike yaani we need to start upya
Na shida inaonekana kuna watu wanawekwa pale kulinda maslahi fulani hivi? Hatuelezwi kila mara tatizo hasa Nini?Matatizo hayako bandarini peke yake.
Matatizo yapo kila mahala, hata kwa wateuzi wenyewe.
Sasa jiulize, hapa katoa usuluhishi gani juu ya tatizo lililopo bandarini.
Huyu bwana mdogo aliyeteuliwa naye siku chache zijazo utasikia kishashindwa kazi.
Mbaya zaidi ni kutochukua muda kufahamu tatizo la sehemu hiyo hasa ni lipi, linalofanya pawe na 'turnover' kubwa kiasi hiki?
Pengine ni kwa kuwa hawahojiwi na yeyote katika maamuzi yao.Kwa nini watu hawaoni hili?
Mkuu 'Bagamoyo', nimeisoma hii na kujikuta nikijiuliza maswali mengi.Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania Railways Corporation SGR , Watendaji husika serikali yote, Amos Makala na Shirika la Masoko Kariakoo, naibu spika Zungu na wazee wenzie wa club ya Saigon Kariakoo n.k wanatakiwa wapitie hapa JF wapate elimu isiyofundishwa ktk vyuo vyetu.
Mfano kuvutia itumike basi nchi za Zambia, Malawi, DR Congo, Rwanda, Burundi zipewe ma-gati ya mkataba aina ya BelBases sisi tufanye miaka 99 na upanuzi wa bandari ukifanyika iwe ya DSM au Mtwara pia tuwahusishe majirani watie mkono wao ktk ujenzi wa gati exclusives na pia haki za kutumia reli na pia uwekezaji ktk njia ya reli. Sisi tutaingiza mapato meli ikiingia, pilot wa TPA atatoza ushuru, meli zitanunua, mafuta, maji na chakula cha mabaharia n.k yaani mambo ni mengi ya kuichangamsha bandari ya DSM iwe hub / kitovu cha biashara, Kariakoo itakuwa soko kuu la nchi hizo tajwa n.k sijui mungu huyu atupatie nini ikiwa kina Sultan Seyyid Said na wazungu wa Ubelgiji na Uingereza kupitia BelBases convention German East Africa lakini sisi hatukioni !
Je, umejaribu kuhoji matatizo yanayoweza kutokana na mpango wa namna hii?
Kwa haraka haraka ninaweza kukupa mfano hai kabisa wa kutofaulu kwa mpango huo unaoueleza. Zambia na sisi tunayo pale ile reli aliyotujengea mchina, TAZARA.
Kwa nini usilaumu uwezo wetu wa "kutongoza" ili tuwashinde hao Musumbiji na S. Africa.itafuta ubaguzi, Mozambique nayo ikapata uhuru je Zambia ikitongozwa kupitisha mizigo huko South Africa isiyo ya kibaguzi sisi huku tumeweka chambo gani
ndiyo mfano wa mipango ya namna hii?wa BalBases
Mkuu, 'theory' yako hii ni ngumu kuitekeleza. Sijui kama ulichotaja hapo juu
Be careful. Mouse Bill Gate ndio utajua yeye na serikali hawana tofauti. Au nenda kaombe tenda bandari ya Newak pale kama utapataUlaya bandari nyingi mno zimebinafsishwa hizo za kwetu sijui wanasubiria nini!
Una kichaa wewe sasa hao TRC Wana nini wanafanya kama sio upuuz tuReli na atc zilishindwa sababu walipewa wasio na sifa na uzoefu.
Bandari kukiwa na ubia na kampuni kubwa Duniani serikali ikashika 51% ,faida itaonekana.
Kuna Dubai port , Nagoya port , busan port , Rotterdam port na Hamburg port
Daressalaam Imekaa sehemu nzuri Katika Afrika , uwekezaji wowote utalipa.
Utendaji wa sasa bado uwezo wake ni mdogo , huyo mkurugenzi aliletwa afanye mabadiliko ameshindwa.
Au ikishindikana waingie ubia wa ushauri wa kitaalamu wa uendeshaji kama walivyofanya Trc wameingia ubia na korail wa uendeshaji na ushauri
Toa hoja acha Matusi dogoUna kichaa wewe sasa hao TRC Wana nini wanafanya kama sio upuuz tu
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania Railways Corporation SGR , Watendaji husika serikali yote, Amos Makala na Shirika la Masoko Kariakoo, naibu spika Zungu na wazee wenzie wa club ya Saigon Kariakoo n.k wanatakiwa wapitie hapa JF