jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kila mtu anatafuta pesa..kwani unadhani na wao hawataki kulamba asali.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tunaambiwa pale pamejaa maafisa sasa wanakazi gani
Hujui kitu ww nyamazaIla Kuna watu kwa propaganda mpo vizuri. Huyu mbosa ni wa kwake? Ili akija kuondolewa tuwakumbushe tena
Kwa kuangalia hiyo sura tu ni hatari. Sura inaonyesha ni hawa ''wajanja'' wapigaji wa mjini. Hakuna kipya.Na akatuaminisha kuwa ni mchapakazi tofauti na aliyemkuta.
Wajeda waliboronga msd..hapo ndio wataboronga zaidi.Nchi hii pasua kichwa, nadhani ni muda sasa kuteua mabosi wa TPA kutoka jeshini, wajeda hawanaga longolongo Wala porojo
Bandari haiwezi kuwa na ufanisi kama miundombinu mingine ya usafirishaji ni mibovu e.g. reliHuwa nashindwa kuelewa BANDARINI kuna nini?! mbona huwa hakuishi MATATIZO?!
yaani kunaonekana kama kuna miungu watu/ uttachable!!!
Nashauri Jeshi lipewe Jukumu la kuendesha Bandari au waongeza nguvu hapo naamini kutakaa sawa, kama kuna wabishi tupa pembeni.
Huwa najisikia maumivu kila mara Rais analalamikia utendaji wa Bandari sio wa kuridhisha. kama kuna watendaji wanao fanya hujuma ya kukwaza juhudi za Rais wabainishwe na watolewe mara moja.
Kubadilisha mfumu wa uendeshaji ka kanuni. Kwa mfano (siyo lazima iwe hivyo) watu wanaajiriwa kwa mikataba inayozingatia utendaji wao baada ya kushindanishwa na kuchujwa kwa umakini.Leo ngoja niulize hili
Hivi mnaposema kufumuliwa mnamaanisha nn? Kuondoa watu wote au? Hebu nipe picha inavyokua
Pale mwisho wa siku panabinafsishwaBandari alipashindwa jiwe na ubabe wake! Kuna namna panatakiwa kubadilishwa kwenye muundo wa majukumu ya utendaji pengine itasaidia!!
Bila reli mzee bandari haiwezi kuwa na ufanisi; hata umpe huyo Kagame...viongozi wa kisiasa hawaelewi hiliYes, tukubali tu kwamba tumeshindwa tumpe mwekezaji aendeshe ili sisi atulipe kodi yetu. Kuna muda Kagame aliomba tumpatie ili awe anatupatia kwa mwezi Trillion 1, tukagoma. 🙂
Sasa matumizi mabaya ya urefu wa kamba inaenda kuwanyonga wengi🏋️.Mzigo Mzito watwikwe wanaorefusha kamba zao Hadi malisho ya wengine🤔ndugu yangu hata ukiweka wachungaji na maaskofu pesa itapigwa tu, TPA ndiyo jiko la nchi Mkuu msosi wote unapikwa hapo - yaani pesa inakutafuta wewe sasa ufanyaje.
Ufisadi...Naomba kuelimishwa,Tatizo la msingi pale bandarini ni nini?
Wajuzi wa Hali ya mambo popote mlipo mfanye kama mnajikuna ili tusafiri boti Moja.Sababu za kufukuzwa?
Matatizo ya hizi kazi za kuteuliwa ndiyo haya. UNAWEZAPATA BARUA YA KUENGULIWA UKIWA KAZINI UKIGOMBANA NA WATU.Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ndgu. Eric Hamisi. Nafasi yake inachukuliwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Ndgu. Plasduce Mkeli Mbossa.
Wa aina Gani tafadhali Ili tusafiri pamoja .Ufisadi...
Kama ilivyo kwingine ko kote katika taasisi zetu.
Mifumo yote imeoza!
Hivi ile skendo ya mabomba ya wizi wa mafuta bandarini, iliishia wapi??? Tz bandari ni kizungumkuti....Huwa nashindwa kuelewa BANDARINI kuna nini?! mbona huwa hakuishi MATATIZO?!
yaani kunaonekana kama kuna miungu watu/ uttachable!!!
Nashauri Jeshi lipewe Jukumu la kuendesha Bandari au waongeza nguvu hapo naamini kutakaa sawa, kama kuna wabishi tupa pembeni.
Huwa najisikia maumivu kila mara Rais analalamikia utendaji wa Bandari sio wa kuridhisha. kama kuna watendaji wanao fanya hujuma ya kukwaza juhudi za Rais wabainishwe na watolewe mara moja.
Wanajeshi ndio hawataki Kula au!?Huwa nashindwa kuelewa BANDARINI kuna nini?! mbona huwa hakuishi MATATIZO?!
yaani kunaonekana kama kuna miungu watu/ uttachable!!!
Nashauri Jeshi lipewe Jukumu la kuendesha Bandari au waongeza nguvu hapo naamini kutakaa sawa, kama kuna wabishi tupa pembeni.
Huwa najisikia maumivu kila mara Rais analalamikia utendaji wa Bandari sio wa kuridhisha. kama kuna watendaji wanao fanya hujuma ya kukwaza juhudi za Rais wabainishwe na watolewe mara moja.
Eric Hamissi mwanzo alikua TIB bank?Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ndgu. Eric Hamisi. Nafasi yake inachukuliwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Ndgu. Plasduce Mkeli Mbossa.