Rais Samia atengua uteuzi wa Eric Hamissi, Mkurugenzi Mkuu wa Usimamizi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

Rais Samia atengua uteuzi wa Eric Hamissi, Mkurugenzi Mkuu wa Usimamizi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

Nchi hii pasua kichwa, nadhani ni muda sasa kuteua mabosi wa TPA kutoka jeshini, wajeda hawanaga longolongo Wala porojo
Wajeda waliboronga msd..hapo ndio wataboronga zaidi.

Tuazime nchi za wenzetu managers wa bandari zinazofanya vzr duniani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huwa nashindwa kuelewa BANDARINI kuna nini?! mbona huwa hakuishi MATATIZO?!
yaani kunaonekana kama kuna miungu watu/ uttachable!!!

Nashauri Jeshi lipewe Jukumu la kuendesha Bandari au waongeza nguvu hapo naamini kutakaa sawa, kama kuna wabishi tupa pembeni.

Huwa najisikia maumivu kila mara Rais analalamikia utendaji wa Bandari sio wa kuridhisha. kama kuna watendaji wanao fanya hujuma ya kukwaza juhudi za Rais wabainishwe na watolewe mara moja.
Bandari haiwezi kuwa na ufanisi kama miundombinu mingine ya usafirishaji ni mibovu e.g. reli

Viongozi wa kisiasa hawaelewi hayo
 
Leo ngoja niulize hili
Hivi mnaposema kufumuliwa mnamaanisha nn? Kuondoa watu wote au? Hebu nipe picha inavyokua
Kubadilisha mfumu wa uendeshaji ka kanuni. Kwa mfano (siyo lazima iwe hivyo) watu wanaajiriwa kwa mikataba inayozingatia utendaji wao baada ya kushindanishwa na kuchujwa kwa umakini.
 
ndugu yangu hata ukiweka wachungaji na maaskofu pesa itapigwa tu, TPA ndiyo jiko la nchi Mkuu msosi wote unapikwa hapo - yaani pesa inakutafuta wewe sasa ufanyaje.
Sasa matumizi mabaya ya urefu wa kamba inaenda kuwanyonga wengi🏋️.Mzigo Mzito watwikwe wanaorefusha kamba zao Hadi malisho ya wengine🤔
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ndgu. Eric Hamisi. Nafasi yake inachukuliwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Ndgu. Plasduce Mkeli Mbossa.

Matatizo ya hizi kazi za kuteuliwa ndiyo haya. UNAWEZAPATA BARUA YA KUENGULIWA UKIWA KAZINI UKIGOMBANA NA WATU.
 
Hapa kunatakiwa utashi wa Serikali kusimamia kwa vitendo na kupush agenda ....vijana wa bandari hasa vijana wa clearing and forwarding na makarani wa mizigo na kitengo cha mafuta balaaa utafikiri wana mabenki nyumbani mwao kufuru pale LIQUID KURASINI ETC NA KIGAMBONI...
2,KUNATAKIWA KUWA NA BODI YA KUSIMAMIA iwe ya wataalamu husika wazee wastaafu katila field mbali mbali usalama,manunuzi ya umma,wanasheria etc watu wazima kuweza kusimamia kisawa sawa ....na kuiga bandari nyingine mbona ziko poooa ...
3.Kagame aliwahi janya utani kuwa anaomba miezi mitatu tuu kuiendesha na uone maajabu....ulikuwa utani enzi za Mzee wetu Magufuli (rip) ila ulikuwa mi maono ambayo sasa Mteule awe na new vision na kujua mianya iko wapi na kukwamua sasa....asije na bussiness as usuL ZA WATANGULIZI WAKE...
ALL THE BEST
 
Huwa nashindwa kuelewa BANDARINI kuna nini?! mbona huwa hakuishi MATATIZO?!
yaani kunaonekana kama kuna miungu watu/ uttachable!!!

Nashauri Jeshi lipewe Jukumu la kuendesha Bandari au waongeza nguvu hapo naamini kutakaa sawa, kama kuna wabishi tupa pembeni.

Huwa najisikia maumivu kila mara Rais analalamikia utendaji wa Bandari sio wa kuridhisha. kama kuna watendaji wanao fanya hujuma ya kukwaza juhudi za Rais wabainishwe na watolewe mara moja.
Hivi ile skendo ya mabomba ya wizi wa mafuta bandarini, iliishia wapi??? Tz bandari ni kizungumkuti....
 
Huwa nashindwa kuelewa BANDARINI kuna nini?! mbona huwa hakuishi MATATIZO?!
yaani kunaonekana kama kuna miungu watu/ uttachable!!!

Nashauri Jeshi lipewe Jukumu la kuendesha Bandari au waongeza nguvu hapo naamini kutakaa sawa, kama kuna wabishi tupa pembeni.

Huwa najisikia maumivu kila mara Rais analalamikia utendaji wa Bandari sio wa kuridhisha. kama kuna watendaji wanao fanya hujuma ya kukwaza juhudi za Rais wabainishwe na watolewe mara moja.
Wanajeshi ndio hawataki Kula au!?
 
Hivi bado tu amjamuelewa ‘Bi Tozo’ ni mropokaji anaeashiria hatua zake zinazofuata mbele.

Kama ulisikiliza alichoongea Oman na walivyompumbaza huko na mikogo ya special treatment ilikuwa wazi akirudi piga ua mradi wa Bagamoyo lazima TPA wa upokee watake wasitake (binafsi naweza kuweka na post nikielezea akirudi lazima atimue mtu kwa sababu ya bandari).

Yeye ajali finance ya hii miradi na return zake ambazo mwekezaji anataka; anachojua yeye ianze tu aonakane anafanya kitu na business-minded. Keshatuingiza mkenge LNG tayari.

Ndipo hapo anapowapenda watu kama kina Pindi Chana, Mwigulu na Makamba; reckless people wasio na uchungu na taifa lao and ignorants on the nitty gritty aspects za majukumu yao.

Akiachwa huyu aendelee 2025 sio tu kwamba hadi 2030 nchi itakuwa na madeni makubwa sana; bali na mikataba ya ovyo ya muda mrefu ambayo aijawahi tokea (hasa nishati mikataba ya Makamba).

Anataka sheria za PPP zirekebishwe, halafu ana demand value for money; huyo mshauri wake wa uchumi akumueleza hizo sheria ni sehemu ya control system ya kuhakikisha value for money inapatikana.

Lipo wazi huyo mama hana uwezo na anatengeneza matatizo makubwa sana.

The good thing kwake watanzania lack imaginery even when given the cues to anticipate what is coming ili kuchukua tahadhari mapema; wao akili uja madhara yanapotokea.
 
Back
Top Bottom