Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Kipande yuko pale MNH kasomewa shitaka lisilo na dhamana akiwa kitandani kafanyiwa operation. Kuna hujuma walifanya kwenye mfumo wa ERP ya TPAHivi kipande wa Jakaya yuko wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipande yuko pale MNH kasomewa shitaka lisilo na dhamana akiwa kitandani kafanyiwa operation. Kuna hujuma walifanya kwenye mfumo wa ERP ya TPAHivi kipande wa Jakaya yuko wapi
Kwa hiyo, Erick cheki namba inarudi kusoma zamani kwa maneno ya waziri Fulani kule bungeni!!!Hongera sana Plasduce Mbossa kwa uteuzi, tunaomba mwenye CV ya Mbossa please
Upo sahihi sn pale pagumu Rostam, Kinana, JK, GSM wote wapo hapoBandari alipashindwa jiwe na ubabe wake! Kuna namna panatakiwa kubadilishwa kwenye muundo wa majukumu ya utendaji pengine itasaidia!!
MSD tu walipashindwa bandarini watapaweza?Mh pale bandari sijui nani ata paweza labda wakabidhiwe Jeshi JWTZ
Hapo hata amuweke JK mwenyewe hapawezi ni pagumu snHuyu bwana si alimteua yeye? masikini sijui kakosea nini? Itajulikana tu
Hawezi hata kidogoMSD tu walipashindwa bandarini watapaweza?
Mshikaji alijua sana kuwatetea wafanyakazi wake . Itachukua miaka mingi kumpata Mtu wa hivi 😭Huyu bwana si alimteua yeye? masikini sijui kakosea nini? Itajulikana tu
Taasisi zote za ulinzi na usalama zipo hapo bandarini.Huwa nashindwa kuelewa BANDARINI kuna nini?! mbona huwa hakuishi MATATIZO?!
yaani kunaonekana kama kuna miungu watu/ uttachable!!!
Nashauri Jeshi lipewe Jukumu la kuendesha Bandari au waongeza nguvu hapo naamini kutakaa sawa, kama kuna wabishi tupa pembeni.
Huwa najisikia maumivu kila mara Rais analalamikia utendaji wa Bandari sio wa kuridhisha. kama kuna watendaji wanao fanya hujuma ya kukwaza juhudi za Rais wabainishwe na watolewe mara moja.
Ukijibiwa ni tagNaomba kuelimishwa,Tatizo la msingi pale bandarini ni nini?
Bandari haitaji miguvuHuwa nashindwa kuelewa BANDARINI kuna nini?! mbona huwa hakuishi MATATIZO?!
yaani kunaonekana kama kuna miungu watu/ uttachable!!!
Nashauri Jeshi lipewe Jukumu la kuendesha Bandari au waongeza nguvu hapo naamini kutakaa sawa, kama kuna wabishi tupa pembeni.
Huwa najisikia maumivu kila mara Rais analalamikia utendaji wa Bandari sio wa kuridhisha. kama kuna watendaji wanao fanya hujuma ya kukwaza juhudi za Rais wabainishwe na watolewe mara moja.
Tanzania mtu akishawekwa kwenye taasisi basi mawazo yake ni kula tuHivi nchi za Ulaya bandari zao nazo zina shida kama hizi zetu? Kama hawana wao wamewezaje kudhibiti? tunashindwa nini kujifunza mifumo ya udhibiti toka kwao?
Maana pale TPA ukichaguliwa ni lazima utatenda dhambi hata kama ulikuwa hutaki kumuudhi muumba wako, maana hela inakufuata yenyewe sasa uikatae sheikh ?
Ipo damuni mwetuUnafikiri hawajui?
Unachokiona ni roho ya upigaji waliyonayo watz
Mrembo perry upo? Uliacha ule utoto wa vyuo? Walionaje life? Na bwanako Holygrail anaendeleaje? Wasalimie huko Liwale.Na akatuaminisha kuwa ni mchapakazi tofauti na aliyemkuta.
Inategemea na vile unavyobinafsisha,wao serikali wanatakiwa kubaki kwenye kusimamia kodi tu,shughuli za kutoa mizigo sekta binafsi wapewe wafanyeIkibinafsishwa ndio inakufa kabisa. Rejea kilichowahi kutokea kwenye Reli, Shirika la ndege na viwanda
Taasisi nyingi wanaajiriwa kwa kushindanishwa mbona napo bado pako hoi?Kubadilisha mfumu wa uendeshaji ka kanuni. Kwa mfano (siyo lazima iwe hivyo) watu wanaajiriwa kwa mikataba inayozingatia utendaji wao baada ya kushindanishwa na kuchujwa kwa umakini.
Wazo zuri Ila Nina wasiwasi na huo uthubutu wa kuwapeleka vijana wakajifunze kama utafanyiwa kazi.Binafsisha hizi BANDARI, naona zinatupa shida kubwa kuziendesha au recruits freshers kutoka University, peleka wachache pale Durban, Capetown, Rotterdam, Botswana (dry port)wakajifunze kwa 24mth kuhusu uendeshaji wa hizi bandari, na ajira mpya zifanyike yaani we need to start upya
inahitaji weledi wa kula mapato?!Bandari haitaji miguvu
Mzee inahitaji akili,ubunifu
Weledi,mtendaji
Hao wajeda si walipelekwa kwenye korosho,ilikuwaje
Ova
Hizo akili Sasa nani anazo?Bandari haitaji miguvu
Mzee inahitaji akili,ubunifu
Weledi,mtendaji
Hao wajeda si walipelekwa kwenye korosho,ilikuwaje
Ova