Rais Samia atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa TTB na NCAA

Kiiza kadumu katika nafasi ya Commissioner Mkuu Ngorongoro miezi mitatu katunguliwa.

Kiiza kaenda NCAA na dereva wake,Secretary wake na Mlinzi wake wote kutokea TANAPA na wote wahaya wenzake.

Leo kaondolewa sijui wapambe wake wataenda wapi,wataweka wapi nyuso zao.
mabadiliko katika kazi za uteuzi ni kawaida 🐒

atapangiwa kazi nyingine 🐒
 
Kiiza kadumu katika nafasi ya Commissioner Mkuu Ngorongoro miezi mitatu katunguliwa.

Kiiza kaenda NCAA na dereva wake,Secretary wake na Mlinzi wake wote kutokea TANAPA na wote wahaya wenzake.

Leo kaondolewa sijui wapambe wake wataenda wapi,wataweka wapi nyuso zao.
Huenda maza kagundua kitu karekebisha. Nahisi kwa kua mama hana uwezo kama aliyokua nao magufuli kucheki wasifu wa vigogo anapendekezewa akishatambua ukweli ndio anareact. Ni hisia tu sina hakika na nachosema wandugu.
 
Jamaa ana wake zaidi ya tisa.
Kweli wewe unamfahamu vzr. Kwa upande wa wanawake amevunja rekodi. Ila yule aliyemtelekeza flat za Tanapa ndiyo mke wa ndoa aliyeanza naye chini kabisa.
 
Kiiza kadumu katika nafasi ya Commissioner Mkuu Ngorongoro miezi mitatu katunguliwa.

Kiiza kaenda NCAA na dereva wake, Secretary wake na Mlinzi wake wote kutokea TANAPA na wote wahaya wenzake.

Leo kaondolewa sijui wapambe wake wataenda wapi,wataweka wapi nyuso zao.
Atakuwa ana undugu na Diego Kiiza aliyekuwa mchezaji wa utopolo
 
Kweli wewe unamfahamu vzr. Kwa upande wa wanawake amevunja rekodi. Ila yule aliyemtelekeza flat za Tanapa ndiyo mke wa ndoa aliyeanza naye chini kabisa.
Duuuh [emoji134] [emoji134]
 
Back
Top Bottom