Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Jamaa ana wake zaidi ya tisa.Amekosa ninj hadi kutenguliwa?. Na mkewe alikuwa bado anaishi flats za TANAPA itabidi aondoke. Duu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ana wake zaidi ya tisa.Amekosa ninj hadi kutenguliwa?. Na mkewe alikuwa bado anaishi flats za TANAPA itabidi aondoke. Duu!
Aahah a kwamba wahaya na wachagga si wakabila,unaishi wapi!?Hakuna ukweli wowote,na hakuna namna unaweza kuthibitisha.
Inawezekana kweli kwasababu kawatafutia Wanyarwanda wengi mashamba Katavi.Kwani huyo ni mhaya?? Wambea wanasema ni mkimbizi pandikizi na inaweza kuwa sababu ya kutenguliwa.
NakaziaIla hizi lugha mnazotumia vijana wa siku hizi zinachanganya sana.
Mimi nilijua katunguliwa(kapogwa risasi) na askari wa wannyama pori. Kumbe kafukizwa kazi!!
I thought the same.Ila hizi lugha mnazotumia vijana wa siku hizi zinachanganya sana.
Mimi nilijua katunguliwa(kapigwa risasi) na askari wa wannyama pori. Kumbe kafukuzwa kazi!!
mabadiliko katika kazi za uteuzi ni kawaida 🐒Kiiza kadumu katika nafasi ya Commissioner Mkuu Ngorongoro miezi mitatu katunguliwa.
Kiiza kaenda NCAA na dereva wake,Secretary wake na Mlinzi wake wote kutokea TANAPA na wote wahaya wenzake.
Leo kaondolewa sijui wapambe wake wataenda wapi,wataweka wapi nyuso zao.
Huenda maza kagundua kitu karekebisha. Nahisi kwa kua mama hana uwezo kama aliyokua nao magufuli kucheki wasifu wa vigogo anapendekezewa akishatambua ukweli ndio anareact. Ni hisia tu sina hakika na nachosema wandugu.Kiiza kadumu katika nafasi ya Commissioner Mkuu Ngorongoro miezi mitatu katunguliwa.
Kiiza kaenda NCAA na dereva wake,Secretary wake na Mlinzi wake wote kutokea TANAPA na wote wahaya wenzake.
Leo kaondolewa sijui wapambe wake wataenda wapi,wataweka wapi nyuso zao.
Kazi nyingine ipi ?.mabadiliko katika kazi za uteuzi ni kawaida 🐒
atapangiwa kazi nyingine 🐒
kazi ziko nyingi sana, ikiwa ni pamoja na kule aliko azimwa 🐒Kazi nyingine ipi ?.
Kweli wewe unamfahamu vzr. Kwa upande wa wanawake amevunja rekodi. Ila yule aliyemtelekeza flat za Tanapa ndiyo mke wa ndoa aliyeanza naye chini kabisa.Jamaa ana wake zaidi ya tisa.
Hiyo fact,Racism sio lazima iwe ubaguzi wa rangi hata ukabila ni Racism,wabadilikeWanafanana ukabila uliopitiliza
Nafasi yake imeshachukuliwa na Mtanzania mwingine.kazi ziko nyingi sana, ikiwa ni pamoja na kule aliko azimwa 🐒
Atakuwa ana undugu na Diego Kiiza aliyekuwa mchezaji wa utopoloKiiza kadumu katika nafasi ya Commissioner Mkuu Ngorongoro miezi mitatu katunguliwa.
Kiiza kaenda NCAA na dereva wake, Secretary wake na Mlinzi wake wote kutokea TANAPA na wote wahaya wenzake.
Leo kaondolewa sijui wapambe wake wataenda wapi,wataweka wapi nyuso zao.
ukiazimwa hakuna wa kuchukua nafasi yako, ukikwama huko unarejea tu ofisi yako ya awali 🐒Nafasi yake imeshachukuliwa na Mtanzania mwingine.
Tribalism problem.Wachagga na Wahaya wanafanana sana 😂
Miezi 3 ni mabadiliko ya kawaida???mabadiliko katika kazi za uteuzi ni kawaida [emoji205]
atapangiwa kazi nyingine [emoji205]
Duuuh [emoji134] [emoji134]Kweli wewe unamfahamu vzr. Kwa upande wa wanawake amevunja rekodi. Ila yule aliyemtelekeza flat za Tanapa ndiyo mke wa ndoa aliyeanza naye chini kabisa.
sana,Miezi 3 ni mabadiliko ya kawaida???