Rais Samia ateua Majaji 6 wa Mahakama ya Rufani

Rais Samia ateua Majaji 6 wa Mahakama ya Rufani

Mbona kama vile mwenye akili mbovu ni wewe? Unajishuku mapema.

Sisi Wagalatia wala hatuna nongwa sana sana na teuzi. Hatulii sana kama wenzetu wavaa makobazi, kila kitu mnalinganisha kwa mlengo wa kiimani.

Wenye sifa watapita. Imani yao haikupunguzii adhabu pale unapokutwa na hatia.
Huna nongwa ila comment yako imejaa dhihaka kwenye dini ya wengine!! au bado upo usingizini?
 
Politicians wanateua High courts judges!,tusipige kelele tunapoambiwa tunaishi in a pithole country, hizo nafasi sita za u judges ilibidi waziombe na interview wafanyiwe kama wengine wanavyofanyiwa interview, judiciary TANZANIA sio independent, ni vibaraka wa Politicians, na CJ yupo kimya maana analinda njaa yake ya tumbo, nikiwa president wa 24hrs,kufikia 14:00hrs judges wote itabidi watume maombi ya kuwa judges, Bunge litapiga kura na watawajibika kwa Bunge (watunga sheria),na judges (wanaotafsiri sheria)CJ atafanyiwa very intensity interview, hawezi kuwa motored kuwa CJ, hii tumwachie Mayele maana alimpita beki wa Marumo kwa kasi ya ajabu
Kabisa.hii ya kusema eti mahakama ni mhimili huru ni uongo kabisa.ukishateuliwa na mtu,unakuwa mtiifu kwa aliyekuteua na ndiyo maana kwa Tanzania rais akikosea atatetewa na mahakama kwa kupindisha sheria ili aonekane hajakosea.Katiba mpya ni mhimu ili kumpunguzia rais mamlaka ya kuteua kila kitu yeye.
 
Wenye akili mbovu watakuja kuangalia majina na nasibisha na dini za watu ili kutengeneza hoja zao mfu
Watakuwa wapumbavu kama ambavyo wewe umewaanzishia njia. Teuzi na majina havipaswi kuwa na uhusiano. Ni akili za kipumbavu na kuanza divert mjadala.
 
Do they qualify au kwa vile tuna majaji wa Rufaa ni kidogo? IS IT HEALTH KUWA Ukikosa Madaktari bingwa unateua Nesi/Medical Assistant au AMO kuwa Daktari Bingwa?
Maguuli alikuwa mpuuzi kwa hilo. Eti kwa vile mtu kaandika hukumu kwa Kiswahili, basi ni Justice of Appeal, STUPID
 
Atakuja Chizi Maarifa akwambie kua wewe ndio unadivert mjadala,nilicomment hivi hivi kwenye ile thd ya aliyekua rais wa Iran Mahmood Ahmedinejad,akaja kunitolea povu.
🤣🤣🤣 Mimi hupenda kuongea ukweli. Nachukia watu wanaoleta habari za Kikabila, Dini, Race kwenye mambo ambayo hayahusiani na hivyo vitu. Malaya, wauaji, mafisadi, Wakatili, Wenye Chuki, Husda n.k wapo Waislamu, Wakristo, Wapagan, Wahindu, Wabudha, Wabohora, Waafrika, Waarabu, Wazungu, Waasia. Ni mwendawazimu tu ambaye ataangalia kwa misingi hiyo. And the vice versa is true. Bahati nzuri mimi hakuna wa kunidanganya kuhusu Uislamu au Ukristo.
 
Mbona kama vile mwenye akili mbovu ni wewe? Unajishuku mapema.

Sisi Wagalatia wala hatuna nongwa sana sana na teuzi. Hatulii sana kama wenzetu wavaa Makobazi, kila kitu mnalinganisha kwa mlengo wa kiimani.

Wenye sifa watapita. Imani yao haikupunguzii adhabu pale unapokutwa na hatia.
Kabisa. Kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake.
 
Huna nongwa ila comment yako imejaa dhihaka kwenye dini ya wengine!! au bado upo usingizini?
Wavaa kobazi ni neno la kudhihaki?

Kobazi ni nini? Ni sandals au open shoes zinazomuwezesha mtu kuvua kwa haraka. Wengi wa waislamu huvaa wakati wa kwenda msikitini.

Hapo nimedhihaki vipi? Pole Mkuu kama maneni yangu hayo yamekutibua. Ila ukweli ni kuwa idadi kubwa ya Waislamu hivaa makobazi waendapo swala au wavaapo kanzu. Ni nadra kuvaa kanzu na viatu vya kufunga.
 
Mbona kama vile mwenye akili mbovu ni wewe? Unajishuku mapema.

Sisi Wagalatia wala hatuna nongwa sana sana na teuzi. Hatulii sana kama wenzetu wavaa Makobazi, kila kitu mnalinganisha kwa mlengo wa kiimani.

Wenye sifa watapita. Imani yao haikupunguzii adhabu pale unapokutwa na hatia.
Eti nyie Wagalatia!! Kwa hiyo hamna akili hata moja siyo?
 
Politicians wanateua High courts judges!,tusipige kelele tunapoambiwa tunaishi in a pithole country, hizo nafasi sita za u judges ilibidi waziombe na interview wafanyiwe kama wengine wanavyofanyiwa interview, judiciary TANZANIA sio independent, ni vibaraka wa Politicians, na CJ yupo kimya maana analinda njaa yake ya tumbo, nikiwa president wa 24hrs,kufikia 14:00hrs judges wote itabidi watume maombi ya kuwa judges, Bunge litapiga kura na watawajibika kwa Bunge (watunga sheria),na judges (wanaotafsiri sheria)CJ atafanyiwa very intensity interview, hawezi kuwa motored kuwa CJ, hii tumwachie Mayele maana alimpita beki wa Marumo kwa kasi ya ajabu
Wapi huko Jaji huteuliwa na wasiokuwa wanasiasa?
 
Wenye akili mbovu watakuja kuangalia majina na nasibisha na dini za watu ili kutengeneza hoja zao mfu
Wewe ndiyo unaileta hiyo hoja ya udini kwa mlango wa nyuma. Na kwa maana hiyo wewe akili yako imeoza kabisa.
 
Back
Top Bottom