Rais Samia ateua Majaji 6 wa Mahakama ya Rufani

Huna nongwa ila comment yako imejaa dhihaka kwenye dini ya wengine!! au bado upo usingizini?
 
Kabisa.hii ya kusema eti mahakama ni mhimili huru ni uongo kabisa.ukishateuliwa na mtu,unakuwa mtiifu kwa aliyekuteua na ndiyo maana kwa Tanzania rais akikosea atatetewa na mahakama kwa kupindisha sheria ili aonekane hajakosea.Katiba mpya ni mhimu ili kumpunguzia rais mamlaka ya kuteua kila kitu yeye.
 
Wenye akili mbovu watakuja kuangalia majina na nasibisha na dini za watu ili kutengeneza hoja zao mfu
Watakuwa wapumbavu kama ambavyo wewe umewaanzishia njia. Teuzi na majina havipaswi kuwa na uhusiano. Ni akili za kipumbavu na kuanza divert mjadala.
 
Do they qualify au kwa vile tuna majaji wa Rufaa ni kidogo? IS IT HEALTH KUWA Ukikosa Madaktari bingwa unateua Nesi/Medical Assistant au AMO kuwa Daktari Bingwa?
Maguuli alikuwa mpuuzi kwa hilo. Eti kwa vile mtu kaandika hukumu kwa Kiswahili, basi ni Justice of Appeal, STUPID
 
Atakuja Chizi Maarifa akwambie kua wewe ndio unadivert mjadala,nilicomment hivi hivi kwenye ile thd ya aliyekua rais wa Iran Mahmood Ahmedinejad,akaja kunitolea povu.
🤣🤣🤣 Mimi hupenda kuongea ukweli. Nachukia watu wanaoleta habari za Kikabila, Dini, Race kwenye mambo ambayo hayahusiani na hivyo vitu. Malaya, wauaji, mafisadi, Wakatili, Wenye Chuki, Husda n.k wapo Waislamu, Wakristo, Wapagan, Wahindu, Wabudha, Wabohora, Waafrika, Waarabu, Wazungu, Waasia. Ni mwendawazimu tu ambaye ataangalia kwa misingi hiyo. And the vice versa is true. Bahati nzuri mimi hakuna wa kunidanganya kuhusu Uislamu au Ukristo.
 
Kabisa. Kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake.
 
Huna nongwa ila comment yako imejaa dhihaka kwenye dini ya wengine!! au bado upo usingizini?
Wavaa kobazi ni neno la kudhihaki?

Kobazi ni nini? Ni sandals au open shoes zinazomuwezesha mtu kuvua kwa haraka. Wengi wa waislamu huvaa wakati wa kwenda msikitini.

Hapo nimedhihaki vipi? Pole Mkuu kama maneni yangu hayo yamekutibua. Ila ukweli ni kuwa idadi kubwa ya Waislamu hivaa makobazi waendapo swala au wavaapo kanzu. Ni nadra kuvaa kanzu na viatu vya kufunga.
 
Kwa ulinganishi wa 1776??
Wale wa 1776 walikuwa na akili zisizo za kawaida. Mantiki wa walichoandika kiko valid hadi kesho. Huwezi linganisha na hayo mashairi aliyoandika Msekwa.
 
Eti nyie Wagalatia!! Kwa hiyo hamna akili hata moja siyo?
 
Wapi huko Jaji huteuliwa na wasiokuwa wanasiasa?
 
Wenye akili mbovu watakuja kuangalia majina na nasibisha na dini za watu ili kutengeneza hoja zao mfu
Wewe ndiyo unaileta hiyo hoja ya udini kwa mlango wa nyuma. Na kwa maana hiyo wewe akili yako imeoza kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…